Kuna anayewafahamu vizuri ForePlan Clinic ya Dr. Mwaka?

Kuna anayewafahamu vizuri ForePlan Clinic ya Dr. Mwaka?

Kwa ushaur wangu rud haraka hospital ukawaeleze mambo yalivyo,inawezekana ukipata hedh tu mambo yakawa safiiiiii,ucjal na usichoke ni mitihan tu kua na uvumiliv my dada
 
Huyu tapeli na malaya kwa watoto wetu pale tegeta, hana lolote wameshaona dili ni kwenye luninga wavute watu
 
Huyu Doctor Mwaka kwasasa bado anaendelea huo utapeli wa mimba za kina mama?
 
Pole sana dada, kuna dr. mmoja yuko tabata segerea kituo chama hospitali ya arafa anasaidia watu wengi kupata watoto naomba ujaribu kwenda kwake kama upo dar. au ni pm nitakuelekeza zaidi.
 
Jamani naomba kujua,

Hivi Dokta mwaka yeye anatibu akina dada zetu na wanawake tu? Nauliza hivi kwa kuwa kila nimsikiapo either Redioni or katika Runinga (TV) yeye huzungumzia tu magonjwa yanayowasibu dada, wake na mama zetu.....Mara Utamsikia sijui fibroid, mara matiti kuuma, hujakaa sawa utasikia sijui kukoma kwa hedhi, hujapumua vizuri utasikia miscarriages, hujapumzika vizuri mara unasikia sijui uvimbe sehemu ya kizazi na ukisema ukae utafakari anakuja tena sijui na mirija ya uzazi na kadhalika.

Swali langu hivi huyu Dokta Mwaka yeye hospitali yake Foreplan Herbal Clinic inatibu tu jinsia ya kike? Ina maana sisi wa kiumeni hatuna matatizo? Sisi yetu nadhani anaweza kuona ni machache ila nadhani wanaume wengi ndiyo tuna matatizo ya kufa mtu!

Naomba kuwasilisha, Jumapili njema.
 
Huo ni ubunifu katika ujasiliamali wowote ndio msingi mkubwa, huo alioufanya mwaka ni ubunifu....
 
Huo ni ubunifu katika ujasiliamali wowote ndio msingi mkubwa, huo alioufanya mwaka ni ubunifu....

Si Mchezo! Kwahiyo Ubunifu Wake Yeye Ni Kwa Akina Dada, Mademu, Wake Na Akina Mama Zetu Tu? Basi Ngoja Nami Nibuni Kutibia Madume Wenzangu!
 
Wala usishangae mkuu GENTAMYCINE, hiyo inaitwa specialization ikimaanisha kaamua kujikita katika matatizo yanayosibu jinsia ya kike tu katika masuala mazima ya uzazikwa kitaalamu tunaweza kumuita Gynaecologist ingawa binafsi sina uhakika kama kafaulu masomo yake na kufikia kupata hicho cheo.
 
Last edited by a moderator:
Hii ni biashara ndo maana kuna maduka maalumu kwa kuuza nguo za kike na za kiume, ina maana wauzao nguo za kiume au za kike tu hawajui jinsia ambayo hawauzi nguo zao hawahitaji kuvaaa?

Nadhan yuko sawa maadam aliko kunamlipa mwachane aendelee kuchuna mabongo lala
 
Hii ni biashara ndo maana kuna maduka maalumu kwa kuuza nguo za kike na za kiume, ina maana wauzao nguo za kiume au za kike tu hawajui jinsia ambayo hawauzi nguo zao hawahitaji kuvaaa?

Nadhan yuko sawa maadam aliko kunamlipa mwachane aendelee kuchuna mabongo lala

Nimekupa Like Kwasababu Tu Nimependa Hiyo Sentensi Yako Ya Mwisho Ya " Mwache Aendelee Kuchuna Mabongo Lala ". Shikamoo Mkuu!
 
Nimekupa Like Kwasababu Tu Nimependa Hiyo Sentensi Yako Ya Mwisho Ya " Mwache Aendelee Kuchuna Mabongo Lala ". Shikamoo Mkuu!

Cku izi watu wameongeza maarifa, kwaiyo ukiona wamelala usiogope kuchuna hata km unaharibu utaja tubu dhambi taratibu, mana kuitwa mwenye heri kwa sasa si kuwa mwema ktk vitendo balo kuja kuanza kutoa misaada mingi baada ya kuharibu nyuma na hapa ndipo panaitwa #Bongoland
 
Tembelea kwenye nyumba za ibada za manabii utaona idadi kubwa ni KE coz wepesi kuamini kila kitu so wajasirianali wanatumia udhaifu huo kupiga pesa

Ova

Hapo umefafanua kila kitu mkuu.
 
Kwa wanawake huko ndiko soko kubwa liliko na tiba mbadala wengi wamewekeza huko. Wakija kwa wanaume wote utakuta wanashughulika na nguvu za kiume tu. Ila sasa hivi wengine wameanza kupromote tezi dume baada ya mkuu wa wakuu kupata tatizo hilo hivyo wanalitumia ipasvyo hata vipeperushi wametengeneza utadhani ni nugonjwa mpya.
 
Kwahiyo Yeye Hakutaka Ku Specialize Koooooooooooote Na Akaona Abobee Tu Ktk Kuwatibu Jinsia Ya KIKE? Duh! Basi Jamaa Kalenga Kweli.

mbona mahospitalini wamejaa madaktari Wa magonjwa ya akina mama ,
 
Back
Top Bottom