Kuna anayewafahamu vizuri ForePlan Clinic ya Dr. Mwaka?

Kiukweli hatamimi najiulizaga japo naona kama dokta kweli jamaa anachimbua kinoma
 
Ni gynecologist wa tiba mdadala. Nothing strange, ni specialization tu.
 
Huyu bwn kituo chake kuna wkt kilipigwa stop lakn cha ajabu jamaa aliendelea kukamua kwene luninga
 
Mh, hv kuna jamaa pale ubungo nyuma ya national housing kituo chake kinaitwa ANTIPA nasikia anatibu vizuri sana kwa kutumia natural remedies, hebu mtujuze ni kweli wadau?
 
Mimi Kuna Mchungaji Mmoja SALA SALA Alijifanya Kuniombea Kwa Mkwara Kuwa Labda Akiniombea Nitaanguka Mwanamume Nimeombewa Zaidi Ya Dakika 7 Hivi Nimesimama Utadhani Mlingoti Wa Umeme Wa TANESCO Na Kilichofuatia Ilibidi Yule Mchungaji Aninong'oneze Sikioni Na Kuniambia Kuwa Nijiangushe Kwani Waumini Hawatamwamini Nikamjibu Sawa Akaniombea Tena Kidume Sikujiangusha Wala Nini Na Ibada Ikaishia Pale Pale Na Mpaka Leo Hataki Hata Kunisikia Kudadadeki.

Haaahaaa noma sana
 
Na Usishangae Alimbandua Pia Bao Hizo Hizo Tatu! Anyway Pole Lakini Kwa Kuuguliwa Na Shemeji Yetu Kama Vipi Mlete Nimpe GENTAMYCINE.

Bila shaka wewe utakuwa choko,,,maana machoko utawajua Tu,,,nna uzoefu nao dizaini yako,,wanapendaga mwanaume mbavu kubwa Ili wachezee chest,,,,NAONA UMASKINI UMEKUPANDA KICHWANI UNAONGEA PUMBA CHOKO WW.
 
Du bora nimejua kumbe tapeli ni kesho tu nilitaka nimpeleke wife duu wangenila
 
Ningependa kijua wasifu, CV na competence ya huyu tabibu kabla sijasusia vipindi vyake katika radio na television.
 
Back
Top Bottom