Mkatavimeo
JF-Expert Member
- Jan 3, 2011
- 2,150
- 875
Nyalandu si Raia wa Marekani kama wengi wanavyosema; ni green card holder. Ni criminal hawezi kuwa RAIA. Ana makosa ya Jinai Iowa pamoja na Illinois.
Inadaiwa kuwa anapokea rushwa kutoka kwa wageni hasa wanaotoka ASIA (Wachina). Serikali ya Marekani haiwezi kumsaidia KUWANIA urais (kama ambavyo inaonekana kwenye thread nyingine) kwa maana ana criminal record. FBI wanajua jamaa ni criminal.
Ushaidi huu hapa chini; alikuwa tried for a number of days almost 10. (Raia wa Marekani ni Lawrence Masha)
[TABLE="class: cms_table_cms_table, width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #cccccc, colspan: 6, align: left"]Summary
Title: STATE VS LAZARO NYALANDU[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #ededed"]Trial Court Case ID[/TD]
[TD="bgcolor: #ededed"]Originating County[/TD]
[TD="bgcolor: #ededed"]Created[/TD]
[TD="bgcolor: #ededed"]Speedy Trial[/TD]
[TD="bgcolor: #ededed"]Microfilm Ref[/TD]
[TD="bgcolor: #ededed"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #ededed"]02951 SMCR007654[/TD]
[TD="bgcolor: #ededed"]WINNEBAGO[/TD]
[TD="bgcolor: #ededed"]02/19/1998[/TD]
[TD="bgcolor: #ededed"][/TD]
[TD="bgcolor: #ededed"][/TD]
[TD="bgcolor: #ededed"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #ededed"]Citation Number[/TD]
[TD="bgcolor: #ededed"]Disposition Status[/TD]
[TD="bgcolor: #ededed"]Disposition Date[/TD]
[TD="bgcolor: #ededed"]Reopened Date[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
![]()
Chanzo: https://www.iowacourts.state.ia.us
Asante mkuu! Hii nchi tukichimbua mambo ina criminals wengi sana kwenye uongozi. Mmojawapo ni Mzee wa kisambaa ambae inasemekana alibaka mwanafunzi wakati akiwa mwalimu mkuu! Lakini akapeta tu kwenye uongozi tena kwa muda mrefu.