Kuna anayemfahamu Mh Lazaro Nyalandu?

Kuna anayemfahamu Mh Lazaro Nyalandu?

Nyalandu si Raia wa Marekani kama wengi wanavyosema; ni green card holder. Ni criminal hawezi kuwa RAIA. Ana makosa ya Jinai Iowa pamoja na Illinois.

Inadaiwa kuwa anapokea rushwa kutoka kwa wageni hasa wanaotoka ASIA (Wachina). Serikali ya Marekani haiwezi kumsaidia KUWANIA urais (kama ambavyo inaonekana kwenye thread nyingine) kwa maana ana criminal record. FBI wanajua jamaa ni criminal.

Ushaidi huu hapa chini; alikuwa tried for a number of days almost 10. (Raia wa Marekani ni Lawrence Masha)

[TABLE="class: cms_table_cms_table, width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #cccccc, colspan: 6, align: left"]Summary
Title: STATE VS LAZARO NYALANDU[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #ededed"]Trial Court Case ID[/TD]
[TD="bgcolor: #ededed"]Originating County[/TD]
[TD="bgcolor: #ededed"]Created[/TD]
[TD="bgcolor: #ededed"]Speedy Trial[/TD]
[TD="bgcolor: #ededed"]Microfilm Ref[/TD]
[TD="bgcolor: #ededed"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #ededed"]02951 SMCR007654[/TD]
[TD="bgcolor: #ededed"]WINNEBAGO[/TD]
[TD="bgcolor: #ededed"]02/19/1998[/TD]
[TD="bgcolor: #ededed"][/TD]
[TD="bgcolor: #ededed"][/TD]
[TD="bgcolor: #ededed"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #ededed"]Citation Number[/TD]
[TD="bgcolor: #ededed"]Disposition Status[/TD]
[TD="bgcolor: #ededed"]Disposition Date[/TD]
[TD="bgcolor: #ededed"]Reopened Date[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

nyalandu-case.jpg

Chanzo: https://www.iowacourts.state.ia.us

basi tumemaliza... Like
 
Wakuu watu wataogopa kuingia kwenye siasa sasa! Mnatisha!
 
Hawa TISS kazi yao ni nini maana hizi tuhuma ni nzito sana kwa kiongozi wa juu serikalini.Haingiii akilini mtu kama huyu kupewa wizara ya utalii.sishangia kuona sekta ya utalii inapunguza kuchangia pato la taifa
 
Wataalamu wanasema jamaa hakumaliza degree yake.....

Naona huyu ***** ameubip urais ..tu ..kashaambiwa sio raia...au ana dual citizenship...nadhani huu ni mjadala mzuri....,watu wenye dual citizenship kama katiba ikija kuwaruhusu ni muhimu tukawwawekea mipaka ....ie hawezi kuajiriwa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama, anaweza kuwa mbunge [lakini hatateuliwa uwaziri au kuhudumu kwenye kamati nyeti bungeni]...na kwenye vyama hataweza kuwa kiongozi mkuu wa chama........ni vigumu kuwa na rais mwenye double loyalty...no wounder huyu Nyalandu ..amekosea sana ...badala ya kusema kuwa wananchi wa Tanzania wameniomba nigombee urais ...anasema Wamarekani wameniomba nigombee urais !!! basi akagombee huko ..tena mwaka huu kuna uchaguzi labda kama amechelewa primaries...........
ameniudhi sana ..binafsi nilikuwa nikimuona kama presidential material ...lakini sijui kwanini empathy yangu ilikuwa ikinituma kuwa ni CIA recruit.......for which he can't even stand...there vetting kwa uropokaji wake........

Sasa nadhani intelligence wamemrushia kapu.......sijui hili anajisafishaje ..labda ...JK Ambebe!!!
Aiseeh hii hatari sana. Baada ya gesi na mafuta yakija tutarushiwa vibaraka wa marekani kwenye urais. Mungu apishilie mbali!!!
 
Hawa TISS kazi yao ni nini maana hizi tuhuma ni nzito sana kwa kiongozi wa juu serikalini.Haingiii akilini mtu kama huyu kupewa wizara ya utalii.sishangia kuona sekta ya utalii inapunguza kuchangia pato la taifa

kaka hii hatari TISS wamemaliza
 
Hawa TISS kazi yao ni nini maana hizi tuhuma ni nzito sana kwa kiongozi wa juu serikalini.Haingiii akilini mtu kama huyu kupewa wizara ya utalii.sishangia kuona sekta ya utalii inapunguza kuchangia pato la taifa

kaka hii ni hatari TISS wanamliza nyalandu
 
Watu wengine bwana, hizo charges zako niza kubumba bumba tu, halafu sidhani hata kama una abc ya sheria. ungekuwa hata una cheti tu usingepost ujinga kama huu. JF inabidi waajiri mtaalamu wa kupima IQ ya wapostiaji wa threads, atumie remote control, aizime akili yako kabla hujapost. hii itasaidia sana.
 
Swali zuri sana! Jibu analo Nyelandu mwenyewe.

Kwa mbali nasikia amefadhiliwa na Shirika moja wapo la Marekani. Aulizwe mwenyewe aliendaje Marekani, alisomea nini na wapi? Na aliporudi ni vipi alijiunga na Mfuko wa Mama Mkapa na kuacha mabilioni ya fedha hapo.

Nasikia- Tafadhali wahusika wafuatilie- Zawadi aliyopewa ni Ubunge katika jimbo lake la sasa na kumwengua Joram Alute (Mwenyekiti wa CCM wa Sasa - Singida). Tatizo la Watanzania ni wengi si wasema kweli ni Unafiki tu ndio unatawala. Tuwaachie wana Habari wa IJ.

RA

Okey kumbe ni kwa hisani ya watu wa marekani???
 
Namfahamu nyalandu kama mbunge wa singida kaskazini na naibu waziri wa viwanda na biashara lakini vilevile ni mwizi wa fedha za ufadhili wa wanafunzi kutoka marekani.

Naibu waziri wa viwanda na biashara? ???? Em acha kujichoresha bana. Relux uongee vitu vyamaana
 
Mimi namfahamu muda mrefu kama kiongozi wa Ukwata pale Ilboru, kwa sasa yeye ni JANGILI number moja, Pale Arusha anamiliki Jumba kubwa sana karibu na shule ya enaboisho! inasemekana kuwa Ndani ya Jumba lake hilo kuna nyara nyingi sana...pia Inasemekana hilo Jumba amejengewa na Majangili wenzie ambao walikuwa wanasafirisha ngozi za wanyama mbali mbali! watu hao wanamiliki ghorofa pale Tank la maji karibu na hospital ya Dr Mohamed ...Mtakumbuka kuwa kuna wakati yeye na Mghana Msindai walisimamishwa na Askari wa wanyama pori wakakataa katakata kukaguliwa magari yao! The bottom lines ni kuwa huyu Jamaa nasikia ana mkono wa Serikali ya Marekani.... Utafiti zaidi kuhusiana na tuhuma zinazoelekezwa kwake ni vema TISS wakafuatilia kwa undani kwa maslahi mapana ya nchi yetu ....
 
Hujishughulisha na ujangili wa ndovu, kupitia kampuni yake ya utalii ambao ilikuwa hailipi kodi hifadhini. Mfanyabiashara mkubwa wa mengine lakini for nyara za seriklali.
 
Majangiri sasa wamehamia JF kazi unayo Nyalandu vita ya ujangiri ina changamoto zake na hizi ni mojawapo jipange vizuri Tembo wanamalizika mda si Mrefu labda tuwahamishie Town Kama india ndipo watapona au Tembo wote wajazwe Wazimu Mara wawaonapo Majangiri wawatoe roho hii njia ya kipori pori itawatisha Majangiri watapungua kwa kasi sana
 
Hapo kwa wamarekani Nyalandu amechemka sana ! Vinginevyo Nyalandu nakushauri uwambie Watanzania Kuwa ukiwa Rais utaondoa Viza ya kwenda Marekani watu watakuwa wanagonga Mihuri tu pale Airport Kama ilivyo kwa south Africa na kutokomea huko USA pasipo kusumbuliwa wala kuulizwa unamfuata nani
 
Hawa mabraza meni wakipewe urais ndiyo yale yale ya wakina fast jet kuhongwa suti, pajama, madila, bukta.............
 
Lazaro was born in dire poverty in North Central Tanzania. He grew up in a small two room mud hut with twelve of his brothers and sisters. The family had barely enough food to eat let alone the finances to afford advanced education. Lazaro knew that the only way he would be able to make a difference for his family and his country was to obtain an education.

Through sheer determination and hard work, Lazaro dedicated himself to finding a means to put himself through school. He was able to attend high school level studies (known as secondary school in Tanzania) through the efforts of several philanthropic individuals. While in high school, Lazaro achieved academic success by receiving the highest grades on the annual national exams and won Tanzanian student of the year award. As a benefit of the award, Lazaro was given the opportunity to attend Waldorf College in Forest City, Iowa.

My take what was the name of award again???????? mengine sijataka kuweka ila ukitaka nitaweka full document na funds zilizotolewa..... ukibeep tunapiga, Nyalandu hakuwahi kuwa na akili darasani

School Name/Location Course/Degree/Award

[TD="bgcolor: #b4c6db, colspan: 5"] EDUCATIONS [/TD]

[TD="width: 15%, bgcolor: #b4c6db"] Start Date [/TD]
[TD="width: 13%, bgcolor: #b4c6db"] End Date [/TD]
[TD="width: 10%, bgcolor: #b4c6db"] Level [/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Waldorf University College (U.S.A)[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]BA. (Business Administration)[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1994[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1996[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]GRADUATE[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Wartburg University College (U.S.A)[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]BA. (International Business)[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1997[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1998[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]GRADUATE[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Pohama Primary School[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Primary Education[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1980[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1984[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]PRIMARY[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Mrumba Primary School[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Primary Education[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1985[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1986[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]PRIMARY[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Kibaha Secondary School[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]O-Level Education[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1987[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1990[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]SECONDARY[/TD]

[TD="bgcolor: #e9f0f0"]Ilboru Secondary School[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]A-Level Education[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1991[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]1993[/TD]
[TD="bgcolor: #e9f0f0"]HIGH SCHOOL[/TD]

Dah

JF mnatisha sana.

hivi kuna ubaya mkafanya mijadala bila ya kuwa na maswali magumu?
 
Huyu ndiye aliyewaambia wapiga kura wa dini fulani kuwa wao ni vichwa maji?
 
Kama hakuwa na akili aliwezaje kusoma Kibaha Secondary O-level na Ilboru Secondary A-level?
 
Back
Top Bottom