Kuna anaemzidi Dj Murphy kwa kutafsiri season?

ila naona Kama kabadilika kuna kipindi mpk nikawa naogopa angalia movie zake kwa sauti anatukana mpk basi ila now anatumia tafsida nyingi
makagari =mapumbu
kugusa uroro = kufanya mapenzi
kufukuza waamiaji aramu kiskimayo =kufanya mapenzi
kibwenye =uke
unyambo =kijambo
azinyaku = hamu ya kufanya mapenzi
na nyingine nyingi
Noma sana huyu jamaa kwa movie zake...
 
series za kutafsiri hazinogi...labda kwa mtu asiye elewa "kidhungu"
 
Serikali inatakiwa ipige marufuku hizi movie ambazo waswahili wanaingiza sauti zao.
1. Zinakiuka copyrights
2. Nyingi ni pirated, yani zinatolewa copy kwenye vikomputa mitaani serikali haipati kodi
3. Tafsiri nyingi ni za uongo
4. Zunalemaza vijana hususan wanafunzi kujifunza lugha za kigeni
5. Zinapoteza muda wa watanzania kuzalisha mali
6. N.k
No 6 ndo ya muhimu kabisa
 
Wanatafsi na kupotosha pia....

Ukisikiliza maneno yao na kusoma subtitle unaweza achana na movie za kutafsiriwa.
 
Serikali inatakiwa ipige marufuku hizi movie ambazo waswahili wanaingiza sauti zao.
1. Zinakiuka copyrights
2. Nyingi ni pirated, yani zinatolewa copy kwenye vikomputa mitaani serikali haipati kodi
3. Tafsiri nyingi ni za uongo
4. Zunalemaza vijana hususan wanafunzi kujifunza lugha za kigeni
5. Zinapoteza muda wa watanzania kuzalisha mali
6. N.k
No 6inaumiza sana. Inatunyonya
 
ila naona Kama kabadilika kuna kipindi mpk nikawa naogopa angalia movie zake kwa sauti anatukana mpk basi ila now anatumia tafsida nyingi
makagari =mapumbu
kugusa uroro = kufanya mapenzi
kufukuza waamiaji aramu kiskimayo =kufanya mapenzi
kibwenye =uke
unyambo =kijambo
azinyaku = hamu ya kufanya mapenzi
na nyingine nyingi
Kama anachanganya na lugha nyingine za makabila basi bado hajafikia lengo la kutoa tafsiri. Nadhani hajafahamu kuwa movie zake zinatazamwa nje ya Kenya na sio watazamaji wote wanaelewa lugha anayotumia... kwa Dj Murphy atasubiri sana
 
kwenye lugha kuna kitu kinaitwa tafsida yaani badala ya kusema K#M@ tunasema uke ndo kitu nachotumia hapo Au kibamia /kilemutuz badala ya kusema mb@r@ fupi
 
Atumie tafsida za kiswahili mfano neno kibwenye aseme uke, anapochanganya lugha za asili anatoa maana nzima ya tafsiri kwasababu sio wote tunaotazama tunaelewa hiyo lugha anayotumia.
 
Namuelewa sana Dj Afro amigos kimooda!
Hakuna mtu hapa bongo ambaye anafikia hata nusu ya huyo jamaa
 
Serikali inatakiwa ipige marufuku hizi movie ambazo waswahili wanaingiza sauti zao.
1. Zinakiuka copyrights
2. Nyingi ni pirated, yani zinatolewa copy kwenye vikomputa mitaani serikali haipati kodi
3. Tafsiri nyingi ni za uongo
4. Zunalemaza vijana hususan wanafunzi kujifunza lugha za kigeni
5. Zinapoteza muda wa watanzania kuzalisha mali
6. N.k
Kwani kinachokuchokonoa ni nini? Yawezekana hata wewe ni mkwepa kodi.
 
Back
Top Bottom