Kuna aliyewahi kupata mapenzi humu?

Mwanzo ilikua kuna aliyewahi kupata mpenzi,saizi heading inasomeka kuna aliyewahi kupata "mapenzi".

Ama sikusoma vizuri mwanzo.
 
Nahisi wapo, nina ID yangu ya kike kuna PM nyingi za wanaume humu na namba zao za simu wa etuma ila nawazungusha. Kama kweli ningekuwa dem ningewakubali walao wawili.
Hiyo ID ina Followers, wakati hii ni ya kitambo sina follower hata mmoja.
Duuhhh kaka kwahy umetumia ID ya kike ili upate followers
 
Mimi nilipata mke humu na tulifunga ndoa na sasa tunafamilia kubwa ya watoto wawili wazuri wa kiume.

Na ni mke mwema. Tena ni member wa siku nyingi humu jf, mnataka niwatajie ID yake?

Mke mwema au mume mwema anapatikana popote haijalishi ni jf au fb au insta , kanisani, disco, tamashani ,ila ni wewe na MUNGU wako, ukikaa sawasawa na MUNGU wako atakupa wa kufanana na wewe toka popote pale atakapo kuwepo.

Jiondolee mipaka.
Swala la kupewa wa kufanana naye kwa upande wangu ni gumu mno. Mimi sitaki wa kufanana na mimi tabia, maana najijua.
 
Sijawahi onja mbususu ya Jf asee, hebu nipeni ushuuda ni tamu sana Au hamna maajabu nn
 
Niliwahi pata msukuma kumbe mme wa mtu alinificha. Ila alikuwa mtamu sana kitandani madikodiko Kama yote . Tatizo lake alikuwa mbahiri sana yaani hela yake huwezi kuipata nikambwaga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom