Matusi ya nini mkuu?Una akili timamu kweli wewe?
Labda upate ambae dish linayumba kama wewe!
Dunia ya leo unamtafuta mpenzi?
Una akili timamu kweli wewe?
Labda upate ambae dish linayumba kama wewe!
Dunia ya leo unamtafuta mpenzi?
Toa maelezo kamiliHusika na kichwa cha habar hapo juu..
Mimi ni mfanyakazi ktk taasis binafsi umri miaka 36 natafuta mpenzi wa kufanya nae maisha awe dini yeyote umri 23 mpaka 45
Mwandiko wa ME huo.Jinsia yako, wallahi Leo huyu kama ni KE najitosa😁😁😁😁
Uwiiiii ngoja nisepe kimya kimya kabla hajanionaMwandiko wa ME huo.
Itakuwa kala pilipili kichaaUna akili timamu kweli wewe?
Labda upate ambae dish linayumba kama wewe!
Dunia ya leo unamtafuta mpenzi?
😀😀Siku na mimi nikija kutafuta mpenzi humu sitaki wa kufanya naye maisha km mleta uzi ntataka mpenzi wa kufanya naye mapenzi