Kuna aliyewahi kupata mapenzi humu?

Nahisi wapo, nina ID yangu ya kike kuna PM nyingi za wanaume humu na namba zao za simu wa etuma ila nawazungusha. Kama kweli ningekuwa dem ningewakubali walao wawili.
Hiyo ID ina Followers, wakati hii ni ya kitambo sina follower hata mmoja.
Kwa hali hii mwanaume anajitangaza anatumia ID ya kike, ndio maana JF sijawahi kutongoza mwanamke yoyote toka nimejiunga 2013.
 
Nahisi wapo, nina ID yangu ya kike kuna PM nyingi za wanaume humu na namba zao za simu wa etuma ila nawazungusha. Kama kweli ningekuwa dem ningewakubali walao wawili.
Hiyo ID ina Followers, wakati hii ni ya kitambo sina follower hata mmoja.
wanaume sisi ..ni nyoko kabisa
 
kufanya maisha inawezekana ..tatizo mnafanyia maisha wapi..kama kila mtu kwao kwa humu wapo wengi tu
 
mm nimempata wangu humu humu...na mambo yanaenda poa kabisa..soon tutasambaza kadi za mialiko... 😆 😆 😆 😆...baby Khantwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom