Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

Nimeshtukaaaaaaaaaaa!kuniondoa kwenye wasiwasi nijuze haya1.Eneo ilipo ofisi yako hapo Arusha .2.Namba ya simu hata ya mezani. 3.Jina la kampuni yako hata kama we ni agent . 3.Nakuhakikishia kuwa hukinijibu hayo hapa JF siyo kuni PM nitadili nawe kibiashara.
RUTUNGA!! kama umeweza kunisoma katika kuwajibu wadau maswali yao ni kwamba ni freelancer i got no office right now,
2.number ya simu hata ya mezani???? (sina simu ya mezani ninayo hii 0789100900 nadhani inaweza kuwa na mawasiliano pia) pia usikariri masimu ya mezani tu ndo ikuhakikishie unaweza kupata mzigo wako hivi we :redfaces:
agiza tu kama unataka kuagiza ninachokifanya mimi ni kuhakikisha unapata gari unalotaka pesa zote zaenda japani i dont collect a single coin here
 
Nahitaji kuagiza gari japan coz nimelipenda sana sana na naweza kufanya altenative kati ya hizi mbili ila nimeshindwa kujua calculations za cost pindi likifika hapa dsm ! Nimejaribu ile fomula ya tra iliyo kwenye web yao , zaidi ya mara mia nimeshindwa , so naomba msaada wenu kwa hili wandugu ili nijue ntalipa kiasi gani hadi gari liwe barabarani ???

Ya kwanza;
aina ya gari: Toyota raum
cc : 1500
ya mwaka : 1998
fob : $1050
cif with inspection : $2700


na ya pili , ni ya mwaka 2001,fob $1500 , cif ni $ 3300, cc 1500 yoyota raum !

Msishangae kuchagua ya zamani , sababu kwa hali ya kwetu ya barabara bila 4wd nijiandae kuwa baunsa wa kulibeba kila wakati ! Msaada pls
 
wengi wameliwa pesa zao kwani hapa bongo gari hilo haliwezi kupatikana? Tembea kwenye show room usije kuuziwa mbuzi kwenye gunia
 
Sikukwambia natafuta gari BALI NAHITAJI KUFANYIWA CALCULATION NILI NIJUE NIANDAE KIASI GANI , LOL!
 
Acheni kumponda mshkaj ndo uwezo wake ulpofkia.
Mkuu niPM 2calculate sio ishu!
 
Ole wako unayeteseka sasa kununua fahari za dunia hii hata ukatoa neno kali. Wakati waja ambao utaomba tone la maji katika kidole cha hao ombaomba unaowasahau na kuwakejeli sasa, pindi watakapokuwa kifuani mwa Ibrahim.
Wewe walalama kuwa unateseka kupata GARI unalolipenda. Uko serious kweli?
Hakika usipotubu kwa dhambi hii, hauta uona ufalme wa MUNGU milele.
 
umeona eeh? mateso yenyewe ya raum! siku anataka kununua hammer sijui atasema nime-rip? bora ukazane step son wangu akuoe,manake...!
mamkwe wa kambo huyu akitaka kununua hammer tutatoa hadi rambi rambi. Lol!
Bora wadau washamsaidia nipate pa kuomba lift.
 
Mkuu bei zipo juu sana......I+F kwa raumhaizidi=900USD,pili Insurance ni Option haizidi USD 150.

Total Taxex ni:
GUIDELINE SUBJECT TO VERIFICATION
Current Retail Selling Price 24,194
Depreciation 70%
Freight Extra Depreciation 0%
Customs value 3,749 FOB
Value 3,749
Import Duty 25% 937
Excise Base 4,686
Excise Duty 5% 234
VAT Base 4,921
VAT 18% 886
Total Taxes 2,057
Total Taxes in TSHs 3,281,503

Thanks
 
naomba kuuliza:
nikiagiza gari ya 2002 mapema mwezi november,itawahi kabla ya december 31, 2011? Lengo hapo ni kuwahi kuepuka dumping duty
maximum time ambayo gari itakuwa bandarini ni siku ngapi ikiwa imechelewa sana?

asanteni
 
kama unashida na gari la kutoka japan naomba unitafute ni kupe bei ya magari.Unachatakiwa kufanya unaniambia aina ya gari mwaka na rangi unayopenda,nitakupa bei ya kununua FOB kulisafirisha na kuli-clear bandari utakuja kulichukua officen likiwa na namba zake karibu sana.

unawza kunipigia moja kwa moja kupitia na mba hii ya japan +818046886066 au +25575342450 pia barua pepe info@cesmatrade.co.tz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom