Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

Ofisi zako zilipo ndo swala la msingi kwani ma agent wa brefcase niwengi,tunataka kujua kama autorec jmall hall,cbs international house,carjunction,ubungo plaza,etc je wewe??
 
Usinihukumu KakaKiiza lakini-katika ulimwengu wa leo jibu la uaminifu sio kuwa na ofisi,cyber offices ndio watu wanakoelekea.
Wewe la maana kwako ni kuwa na uhakika wa kulipata gari ulilo order bila kudhulumiwa, hao wenye ma office unaowataja wengine wameisha rudi huko unapomuuliza ndg yetu. Autorec kwa taarifa yako wameona biashara ya kulipia ofisi imepitwa na wakati.Maana hiyo gharama ya ofisi ya hapo JM Mall walishindwa wambwagie nani,maana waswahili kila siku wako kwenye mitandao.
Nakutakia ununuzi mwema.:A S 109:
 
Mimi nimezoea kuona bei za CIF, ungefanya hivyo nami ningependa sana. Natumaini pia unazo taarifa magari mazee ya zaidi ya miaka 10 yanalipiwa ushuru mkubwa sana hapa Tanzania, kwa maana nyingine hayatakiwi. Nitakuandikia kwa email yako nikueleze mahitaji yangu, yako magari mawili niliyopenda.
 
Asante ingawa iko ibishara zaidi lakini nina tu-maswali kadhaa.1.Kwanza mimi kipato changu cha kitanzania siyo kibaya sana ingawa sikuwa na mpango kabisa wa kufikiria kununua gari lakini baada ya kutazama bei kwenye link uliyoweka nimeshawishika kuuliza.2.Nimeona gari linalouzwa dola takribani 1,800 na mengine dolla 2,000 Hivi haya magari ni used kwa maana ya kuwa yametembea KM nyingi au ni poromotion kwani wenye magari hutupiga mkwara sisi wenye pipikpi kuwa siku hizi magari ni kuanzia dolla 4,000 na kuendeleaEbu nipe ufafanuzi kwa hayo magari sifa zake nk hasa kuhusu KM nas vitu vya ziada

Rutunga kwanza kabisa naomba nikujibu kama ifuatavyo magari mengi tunayouza inategemea na option ya mtu lakini kama Jimex ltd. magari tunayowauzia wateja ni yale ambayo yanakidhi ubora wa kutumiwa maana kuna magari ambayo ni grade mbovu ambayo hata JAA inspection huwa hayapitishi so kuhusu ubora usihofu.
Kuhusiana na KM ni kwamba mteja ndiye atakayeamua anataka gari iliyotembea KM ngapi la msingi ni kutwambia ni KM ngapi unataka mfano unaweza kusema kuwa gari unataka isiwe imezidi KM 60000. basi utatafutiwa kulingana na mahitaji yako lamsingi nikwambie tu gari yenye KM chache inakuwa na bei yake iko juu kidogo kuliko yenye KM nyingi tunazo gari ambazo ni used na zimetembea hadi KM 3000 tu.

Jinsi ya kuagiza gari ulitakalo kama haliko kwenye stock yetu
1.Toa specifications za gari unalotaka mfano Nissan extrail,mwaka 2000>2004, Transmision (Manual au Auto), Aina ya mafuta Diesel au Petrol, Rangi ya Gari, KM ngapi like 60000KM>80000KM na budget yako ikoje etc..
Ukishatutajia specification zako tutakwenda kukutafutia gari lenye viwango unavyotaka kwenye minada (auctions) ya magari
2.kabla ya kuingia mnadani na ili tusipoteze muda wa kukutafutia gari pasipo wewe kuwa na uhakika utaratibu wetu ni kwamba at least utatakiwa kulipa kiwango flani ambacho kitakuwa calculated kulingana na gari utakayoihitaji hii ni kwa sababu ya kuwa na watu ambao wako serious na kununua gari na si waulizaji maana kwenda mnadani tunatumia pesa na logistics ambazo zinaigharimu kampuni.
gari yako ikipatikana utatumiwa details and na picha zake na kisha utadeposit balance tayari kwa shipping (minada ya magari ipo karibia kila siku kwa uzoefu wetu si rahisi kushindwa kukupatia gari utakayo) fuata link hapa howtobuy

Nadhani nitakuwa nimekujibu swali lako
 
Mimi nimezoea kuona bei za CIF, ungefanya hivyo nami ningependa sana. Natumaini pia unazo taarifa magari mazee ya zaidi ya miaka 10 yanalipiwa ushuru mkubwa sana hapa Tanzania, kwa maana nyingine hayatakiwi. Nitakuandikia kwa email yako nikueleze mahitaji yangu, yako magari mawili niliyopenda.

karibu sana nitashikuru kupata oder yako mkuu
 
Ofisi zako zilipo ndo swala la msingi kwani ma agent wa brefcase niwengi,tunataka kujua kama autorec jmall hall,cbs international house,carjunction,ubungo plaza,etc je wewe??

kaka kiiza naomba nikushukuru kwa swali lako kama mdau hapo chini alivyokujibu ni kweli kwamba kutokana na utandawazi uliopo inakuwa ni vigumu sana kufanye setup ya office kulingana na gharama za uendeshaji ninachotaka kukuhakikishia ni kwamba ninahakikisha unapata gari ambalo ni zuri na linalingana na specification zako ambazo unazitaka na kuna wataalamu wetu ambao watakushauri kama specification zako ulizotoa zinaweza kukuletea dosari baadae magari yote hukaguliwa na Engineers wa Jimex Ltd kabla hayajapelekwa kwa JAA ambao niwakaguzi pia wa magari kabla ya shipping..

Karibu sana
 
Usinihukumu KakaKiiza lakini-katika ulimwengu wa leo jibu la uaminifu sio kuwa na ofisi,cyber offices ndio watu wanakoelekea.<br />
Wewe la maana kwako ni kuwa na uhakika wa kulipata gari ulilo order bila kudhulumiwa, hao wenye ma office unaowataja wengine wameisha rudi huko unapomuuliza ndg yetu. Autorec kwa taarifa yako wameona biashara ya kulipia ofisi imepitwa na wakati.Maana hiyo gharama ya ofisi ya hapo JM Mall walishindwa wambwagie nani,maana waswahili kila siku wako kwenye mitandao.<br />
Nakutakia ununuzi mwema.<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/A S 109.gif" border="0" alt="" title="A S 109" smilieid="98" class="inlineimg" />
Kukuhukumu siwezi lakini mimi ninazo taarifa kutoka ubalozi wa japan wakiwataadhalisha wananchi kuwa makini na cyber company's sasa kama unasema habari za cyber ukawa hujui matumizi ya cyber naona wewe utakuja kujuta siku moja!!,Kwanza fahamu nilahisi kuwa na web yako nani rahisi wewe kuweka web yako ukiwa ba address za japan kwakushirikiana na wenyeji hivyo nakuomba usije ukawapoteza wananchi wakapoteza pesa zao kwa fake cyber's
 
Asante ingawa iko ibishara zaidi lakini nina tu-maswali kadhaa.1.Kwanza mimi kipato changu cha kitanzania siyo kibaya sana ingawa sikuwa na mpango kabisa wa kufikiria kununua gari lakini baada ya kutazama bei kwenye link uliyoweka nimeshawishika kuuliza.2.Nimeona gari linalouzwa dola takribani 1,800 na mengine dolla 2,000 Hivi haya magari ni used kwa maana ya kuwa yametembea KM nyingi au ni poromotion kwani wenye magari hutupiga mkwara sisi wenye pipikpi kuwa siku hizi magari ni kuanzia dolla 4,000 na kuendeleaEbu nipe ufafanuzi kwa hayo magari sifa zake nk hasa kuhusu KM nas vitu vya ziada
Rutunga pole sana katika km utachakachuliwa!!!!walishajua watanzania mnaamini gari km chache ndiyo gari bora wenziyo sikuhizi wana softwere za magari yote kwakutuia dignosis system kwa magari ya yanayotumia digital ODM,wanauwezo wakurudisha sufuri!!!!habari ndiyo hiyo mara nyingi wamekuwa wakiishia katika km 55!!!......tia akili katika ununuzi wagari!
 
kaka kiiza naomba nikushukuru kwa swali lako kama mdau hapo chini alivyokujibu ni kweli kwamba kutokana na utandawazi uliopo inakuwa ni vigumu sana kufanye setup ya office kulingana na gharama za uendeshaji ninachotaka kukuhakikishia ni kwamba ninahakikisha unapata gari ambalo ni zuri na linalingana na specification zako ambazo unazitaka na kuna wataalamu wetu ambao watakushauri kama specification zako ulizotoa zinaweza kukuletea dosari baadae magari yote hukaguliwa na Engineers wa Jimex Ltd kabla hayajapelekwa kwa JAA ambao niwakaguzi pia wa magari kabla ya shipping..<br />
<br />
Karibu sana
Mkuu asante kwakunikaribisha ila swali langu ni wewe kueleza ofisi yako ikowapi na wapi mimi nitafatilia kama nikiona mda tulio ahaidiana unapita???swali lakwanza!pili mimi nawajua watu wamelia na ofisi za cyber!!binafsi mimi sijashawishika labda uwambie watanzania wenzako niwapi watakupata kama ucheleweshwaji wa magari yao utakapotokea??!!
 
Mkuu naomba uni email ni ana gani ya trecta unahitaji nitashughulikia ombi lako mapema na haraka<br />
asante.
Mkuu bei inakuwa siri???kwanini usiweke hadhalani??kama nimfanyabiashara wakweli??mbona tukifungua mitandao bei iko wazi iweje wewe??twambie siri yake au unataka ukamate ng'ombe wako bila bughudha??
 
Rutunga pole sana katika km utachakachuliwa!!!!walishajua watanzania mnaamini gari km chache ndiyo gari bora wenziyo sikuhizi wana softwere za magari yote kwakutuia dignosis system kwa magari ya yanayotumia digital ODM,wanauwezo wakurudisha sufuri!!!!habari ndiyo hiyo mara nyingi wamekuwa wakiishia katika km 55!!!......tia akili katika ununuzi wagari!

Kaka kiiza naomba kwa hili nikuulize kama ushawahi kudeal na JAA inspection maana wao kama gari imerudishwa KM wanagundua kwa sababu wanavifaa vya kugundua gari iliyorudishwa nyuma na mara nyingi gari zinazorudishwa nyuma nyingi hutolewa Japan zinapitia Dubai so dubai watu wengi ndo wanapohujumiwa kwa kuletewa magari yaliyorudishwa KM na si kampuni zote zenye kufanya upotoshoji wa hivyo do not generalize kaka..
 
Mkuu bei inakuwa siri???kwanini usiweke hadhalani??kama nimfanyabiashara wakweli??mbona tukifungua mitandao bei iko wazi iweje wewe??twambie siri yake au unataka ukamate ng'ombe wako bila bughudha??

Sijasema kuwa bei ni siri nilichomuuliza anitajie anahitaji trecta aina gani maana alichokisema ni sawa na kusema nataka suluali, suluali ziko nyingi na zina saizi tofauti ndio maana nimeuliza/kusema ani email au anaweza kuweka hapa na akapata bei hapa hapa no secret,
mkuu
 
Mkuu asante kwakunikaribisha ila swali langu ni wewe kueleza ofisi yako ikowapi na wapi mimi nitafatilia kama nikiona mda tulio ahaidiana unapita???swali lakwanza!pili mimi nawajua watu wamelia na ofisi za cyber!!binafsi mimi sijashawishika labda uwambie watanzania wenzako niwapi watakupata kama ucheleweshwaji wa magari yao utakapotokea??!!

Kaka kiiza mie napatikana Arusha ni fleelancer Agent na ninadeal na JIMEX LTD pekee nadhani kuna watu ambao wameshaagiza magari from this company naomba kutowataja but kama mtu atakuwa free yeye mwenyewe kujiweka hapa anaweza kutoa as reference, ninachoweza kukuhakikishia ni kwamba utapata gari yako ontime na bila kuwa na usumbufu wa aina yeyote ile.
 
Mimi nimeshukuru kwakunielewa kwa maswali yangu ya msingi na umeweza kusema hupo arusha tz,hivyo nirahisi kudeal nawewe nadhani katika biashara kama unataka kuitangaza unatangaza fiziko address siyo kwakifupi mimi nipo mza na web basi!kuna nchi nyingi bila kuweja fiziko address uwezi kudili nao!landline,fax ni muhimu japo japo aizuii uhalifu kufanyika inakushahuri ili na mimi kakakiiza nishawishike ungejinadi zaidi ya hapo!!
 
Karibu sana kaka kiiza kwenye ulingo wa wanaotembea na miguu minne binafsi nimependa maswali yako

sikutaka kuingilia lakini hata mie nimeshawatumia hawa jamaa na kausafiri kangu kako gado tu nakushukuru na endelea kuuliza onbehalf yetu asante sana big up kiiza
 
kakakiiza nakushukuru usiwe na wasi wasi we agiza gari lako na utalipata ontime na bila usumbufu
 
kakakiiza nakushukuru usiwe na wasi wasi we agiza gari lako na utalipata ontime na bila usumbufu

Nimeshtukaaaaaaaaaaa!kuniondoa kwenye wasiwasi nijuze haya1.Eneo ilipo ofisi yako hapo Arusha .2.Namba ya simu hata ya mezani. 3.Jina la kampuni yako hata kama we ni agent . 3.Nakuhakikishia kuwa hukinijibu hayo hapa JF siyo kuni PM nitadili nawe kibiashara.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom