Kwangu inagoma.Nmejaribu kuileta mpesa imekuja
Mimi nilienda bank nikajaza form nikanyofoa vijisenti vyangu vyote nilivyovikusanya miaka kadhaa kwa hii biashara yangu ya majeneza!Eti wadau
Hali Tete
Wengne inakataa, Mimi nimeileta mpesa imekubal ila kuna wengne inakataaMbona mi nimetoka kutoa sasa hivi fresh tu
Biashara inatisha hiyoMimi nilienda bank nikajaza form nikanyofoa vijisenti vyangu vyote nilivyovikusanya miaka kadhaa kwa hii biashara yangu ya majeneza!
Bora nivichimbie ndani ya jeneza stoo kuliko vichotwe na wahuni
Binafsi kwetu lazima uwe CRDB au Equity. Shida Equity hawana ATMs mpaka uwafate mjini. Automatic CRDB haikwepekiWatu wa CRDB mbona kelele kila siku.
Si muhame huko au mnalazimishwa kuwa na akaunti huko.
Hata kwa baadhi ya wakala unatoa POS inatoa risiti, lakini salio kwa wakala haliongezeki.Bora uende kwa wakala, Mambo ATM au kuhamisha kwenye simu lolote linaweza tokea hapo kati chenji zikapeperuka.
awe makini na panyaJifunze kuhifadhi pesa zako chini ya kitanda ni salama kwa afya yako...
Panya kitu gani bhana, anamwagia pilipili ya kutosha kwa juu, maana hawa panya wa Dasilamu hawafi kwa sumu kabisa sijui nani aliwaganga...awe makini na panya
Hufanyi miamala Mara kwa marasijapata changamoto yoyote hadi sasa ndugu
wale panya wanaolia usiku , kama wanapiga mluzi vile, wana midomo mirefu ,Panya kitu gani bhana, anamwagia pilipili ya kutosha kwa juu, maana hawa panya wa Dasilamu hawafi kwa sumu kabisa sijui nani aliwaganga...
Paka ni rahisi kulubuniwa na wazee wa Manyaunyau, maana ni damu moja hao, labda umfunge hilizi kubwa ya ulinzi...wale panya wanaolia usiku , kama wanapiga mluzi vile, wana midomo mirefu ,
labda afuge paka
😂😂😂😂Hivi kumbe tunaweza kuchezea mtandao tukaangeza sifuri na mambo yakaendelea bila tabu
Bot, hazina waongezee Ht trillions kadhaa ziingie ktk matumizi