Kuna aina ya watu hawarogeki

Duh, poleni sana, nyie wenye imani haba.
 
Hapa duniani kila kitu kinalogeka, iwe udongo, maji , jiwe , mti ,chuma , tofari , wanyama, viumbe hai & visivyo hai vyote vinalogeka.

Mshana nikurebishe kidogo.Mchawi kazi yake ni kuiba,kuharibu na kuua!
 
Moja kati ya vitu alivyoniachia babu...ni kwamba sitoweza kulogwa ...kulogeka hata kwa ndumba na ngale..
 
Na kuna binadamu hawarogeki japo hawana zindiko wala chale hata moja mwilini mwao,hawa toka kuzaliwa kwao hawajawahi kwenda kwa mganga eti kupata kinga ya wachawi ila wanalindwa na malaika,sasa usipokuwa makini utahenya sana kuwaroga huwawezi ng'o hata uende india kwa mkuu wa wachawi...!sasa cha kufanya mtu wa namna hii mvizie pindi akiingia chooni ama bafuni,ama akiwa anazini...malaika wake haingii maeneo haya na hapa anarogeka vizuri tu(ndio maana utasikia mtu kadondoka chooni,bafuni nk na akafa ujue ashawindwa sana na amekamatika)
 
Hapa duniani kila kitu kinalogeka, iwe udongo, maji , jiwe , mti ,chuma , tofari , wanyama, viumbe hai & visivyo hai vyote vinalogeka.
Hapana huwezi kuroga mfumo wala dhana...
 
Hapa duniani kila kitu kinalogeka, iwe udongo, maji , jiwe , mti ,chuma , tofari , wanyama, viumbe hai & visivyo hai vyote vinalogeka.
Mtu kweli aliyemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yake na akaishi maisha matakatifu harogeki mkuu na wachawi wanamuogopa,na wakijaribu matokeo ni mabaya mno kwao.Huu ndio ukweli ingawa wachawi wanajaribu kuficha ukweli huu.
 
Ila kumbuka hawa ndio huwa na vita kubwa zaidi kuliko wasiookoka

Jr[emoji769]
 
Ila kumbuka hawa ndio huwa na vita kubwa zaidi kuliko wasiookoka

Jr[emoji769]
Ni kweli Mshana Jr.Lakini hiyo ni kwa sababu mtu ambaye hajaokoka Shetani anajua ni wake after all,kwa hiyo hakuna haja ya ku-deal naye.Ila ambaye ameokoka ni lazima atumie kila mbinu ili ampate kwa kuwa anaharibu kazi zake,lakini pia ili wapate kwenda pamoja jehanamu.It's a very painful truth Mshana Jr.
 
Nilipokuwa mdogo nilitokea kuwachukia sana hawa so called wachawi
Kila nikiambiwa kuwa ni mchawi (ambapo anajulikana mjini hapo) nilikuwa namahambulia kwa mawe au matusi (huo ulikuwa utoto) lakini nilipokuwa kidogo hiyo chuki haikuisha na hawakunifanya lolote wala kuwadhuru watu wangu wa karibu bali ilikuwa ni abhor
Sasa nikiwa sec alikuja bundi akatua juu ya mti mkubwa sana shuleni mimi na wenzangu tukaanza kumtupia mawe yule Bundi na hakuondoka kwenye mti mpaka umauti ulipomkuta
Asubuhi na mapema tulipoamka kuna mzee wa kisukuma alikuja na kuongea kisukuma sana bahati kulikuwa na wasukuma ambao wakawa wakalimani na kusema mzee ameapa waliomuuwa mtoto wake wataona
Alimchukua ndege wake na kumfunga kwenye baiskeli
Nikamwambia yule mwanangu zo amwambie atume mwingine tena TUNAUWA
Mzee aliniangalia na mimi sikumjali kabisa
Nimezaliwa bila woga na ninaamini kama hukuandikiwa kupatwa kitu hakikupati
Natamani kwenda kwenye haunted house na kulala humo nione hizo roho zinatapatapa nizichape zitulie [emoji83][emoji3442]

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Nimezaliwa bila woga na ninaamini kama hukuandikiwa kupatwa kitu hakikupati
Natamani kwenda kwenye haunted house na kulala humo nione hizo roho zinatapatapa nizichape zitulie [emoji83][emoji3442] [emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144]happy new year
Jr[emoji769]
 
Endelea na moyo huo huu,lakini muamini Mungu,kwa kuwa hata sasa hiyo imani yako ndogo uliyo nayo ndiyo inayokusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…