Mimi simdhihaki hata kdg bali mleta mada ndio anaemzihaki nampenda na ninamkubali Mtume wa mungu,
Here it goes again .. Always something .. Thanks..
Mimi simdhihaki hata kdg bali mleta mada ndio anaemzihaki nampenda na ninamkubali Mtume wa mungu,
Mimi nataka hiyo ya Pili , and by the Grace of God its on the way in Jesus name.. Amen..
Bwana YESU asifiwe!
Aina ya kwanza ya ndoa ni:
1.Ndoa ya kutungua
> Hii ni ile ndoa ambapo watu wanakutana tu na kupendana na hapohapo wanaanza mahusiano kwenda guest. Huyu anasema "nimekuzimia" na huyu anasema "na mimi nimekuzimia" kisha wanakwenda kuzimika pamoja guest. Ndoa hii inafananishwa na nguo dukani umeona unataka,ukiona nyngne nzr unataka kwa iyo unatungua tu.
Aina ya pili:
2.Ndoa ya mashono
> Hii ni ndoa inayofananishwa na nguo kushona kwa fundi. Hapa kuna utaratibu vipimo lazima vifanyike vzr kuona kama inakutosha. Hii ndipo taratibu za kikanisa zinafuatwa bila hata ya kukutana kimwili.
>Ndoa hii pia ina baraka kwa kuwekewa mikono na wachungaji.
> Ninawaombea MUNGU awape NEEMA ya kufunga ndoa ya mashono katika jina la YESU KRISTO.
AMEN
Mimi nataka hiyo ya Pili , and by the Grace of God its on the way in Jesus name.. Amen..
Jora umeliandaa???
Ameeen.Bwana Yesu akupe haja ya moyo wako.hata mie nitapata hiyo ya pili kwa jina la Yesu
Mimi nataka hiyo ya Pili , and by the Grace of God its on the way in Jesus name.. Amen..
Ameeen.Bwana Yesu akupe haja ya moyo wako.hata mie nitapata hiyo ya pili kwa jina la Yesu
Kuwa Mke Ni Kuwa Msaidizi. Na Ili Uwe Msaidizi Mzuri Ni Lazima Kijana Akuambie Kusudi La Mungu Alilopewa.
>Maana Usipojua Kusudi Lake Mtakuwa Vichwa Viwili Ndani.
> Na Ww Pia Lazma Ujue Sifa Za Mume
Madam S, Una Ndoa Ya Dini Au Ya Kimungu? Maana Kuna Dini,na Kuna Mungu. Vi2 V2 Tofauti.
Shake well before use
Hiyo ndo habari, kisa cha kuingia kichwa kichwa afu nikakutane na team kibamia au team mandingoo...ntalia na nani?
Kina cha maji hakipimwi kwa kuyatazama.....
Shikamoo umetupa jongoo na mti wake?hamna shida tutakutana 07 september
Jamani, marhabaaa...majanga tu pacha ake, ila tushukuru Mungu tumekutana tukiwa na afya teleee...
Tufanye surprise tu 07th September tuunganishe miili LOL wasipaone watu hapa
Hahahaaaa hujaacha tu ubazaziii...nilijua umehamia UKAWAAA...