Kuna aina 2 za ndoa. Je, yako ni ipi?

Kuna aina 2 za ndoa. Je, yako ni ipi?

Mungu Akubariki Na Akuwezeshe Umpate Aliyekusudiwa Ktk Jina La Yesu Kristo.

dah dunia hii kuna dada mmoja yeye na vijana wenzake walikuwa katika shughuli za kiinjilishaji wakisafiri kwenda nchi za nje kuinjilisha cha ajabu nilikutana nae juzi kati hajafunga ndoa ila wajanja washamla yani li mimba duh nikajisemea huyu si alikuwa muinjilishaji ilikuwaje tena , sikutaka kumwuliza chochote ila aliponiona alitaharuki akajifanya hajaniona mimi nikamshika bega nikamsalimia akavunga mmh nilikusahau my dear , nadhani yeye ni zile ndoa za kutunga
 
Unadhani nakuelewa hata sjui Ni nini umeandika hapo



Ok, Utakuwa Umeibiwa Ufaham Ngoja Nikuombee. Baba Ktk Jina La Yesu Kristo Ninamfungua Madam S Ufaham Wake,kwa Damu Ya Yesu. Natangaza Kufunga Sasa Iv Kwa Mamlaka Ya Jina La Yesu Kristo.Amen
 
Ok, Utakuwa Umeibiwa Ufaham Ngoja Nikuombee. Baba Ktk Jina La Yesu Kristo Ninamfungua Madam S Ufaham Wake,kwa Damu Ya Yesu. Natangaza Kufunga Sasa Iv Kwa Mamlaka Ya Jina La Yesu Kristo.Amen


Ndo mnavodanganyana
 
Iyo Ya Kwanza Ukiingia Masharti Yake Ni:
> Ngumi Lazma Ziwepo
> Chuki,matusi Lazma
> Michepuko Lazma Kwa Wote
> Visasi, Akimwaga Ugali,huyu Anamwaga Mboga

Ninawashauri Vijana Na Mabinti Kufuata Utaratibu Wa Kimungu Unapotaka Kuingia Kwny Ndoa, Kwan Ni Eneo Nyeti Sn Ktk Maisha Yako.
Mungu Awasaidie Ktk Jina La Yesu
 
Mtoa thread yupo in love ameamua kusambaza upako had Jf
Humu imani tofauti mkuu tuaona unatuvuruga hatukuelewii
 
Mtoa thread yupo in love ameamua kusambaza upako had Jf
Humu imani tofauti mkuu tuaona unatuvuruga hatukuelewii



Nimeamua Kuwafuata Hukuhuku,maana Naona Michepuko Imewazidi. Jaman Tubadilike Mwisho Wa Dunia Umefika. Ndoa Nzr Ni Kufuata Taratibu Za Familya Na Kanisa. Mungu Awasaidie Vijana Na Mabinti Wa Jf
 
Kuwa Mke Ni Kuwa Msaidizi. Na Ili Uwe Msaidizi Mzuri Ni Lazima Kijana Akuambie Kusudi La Mungu Alilopewa.
>Maana Usipojua Kusudi Lake Mtakuwa Vichwa Viwili Ndani.

> Na Ww Pia Lazma Ujue Sifa Za Mume

Thanks Pst naomba mungu anisaidie kumpata msaidizi mzur.
 
Thanks Pst naomba mungu anisaidie kumpata msaidizi mzur.



Na Ili Mungu Akupe Msaidizi Mzr, Ni Vzr Na Wewe Ukajiweka Vzr, Ukae Na Kuishi Ktk Uwepo Wa Mungu. Na Ujijue Kwmb Ww Umeumbwa Kwa Mfano Na Sura Ya Mungu Na Kupitia Ww Utukufu Wa Mungu Utaonekana Kwako
 
Jaman Nawaomben mrudien Mungu Ili Michepuko Isiwakute, Maana Mkakati Wa Kuzmu Ili Kuvuruga Ndoa.
 
Bwana YESU asifiwe!

Aina ya kwanza ya ndoa ni:

1.Ndoa ya kutungua
> Hii ni ile ndoa ambapo watu wanakutana tu na kupendana na hapohapo wanaanza mahusiano kwenda guest. Huyu anasema "nimekuzimia" na huyu anasema "na mimi nimekuzimia" kisha wanakwenda kuzimika pamoja guest. Ndoa hii inafananishwa na nguo dukani umeona unataka,ukiona nyngne nzr unataka kwa iyo unatungua tu.

Aina ya pili:

2.Ndoa ya mashono

> Hii ni ndoa inayofananishwa na nguo kushona kwa fundi. Hapa kuna utaratibu vipimo lazima vifanyike vzr kuona kama inakutosha. Hii ndipo taratibu za kikanisa zinafuatwa bila hata ya kukutana kimwili.

>Ndoa hii pia ina baraka kwa kuwekewa mikono na wachungaji.

> Ninawaombea MUNGU awape NEEMA ya kufunga ndoa ya mashono katika jina la YESU KRISTO.

AMEN

Acha porojo wewe usiyejua maana ya ndoa. hadi uzinzi unasema ni ndoa. upo serious kweli? halafu unatuaminisha kuna aina mbili za ndoa kama ulitaja hapo juu. Umetumia vigezo gani hapo?
 
Wanandoa Wasipo Mrudia Mungu,kwa Kizaz Tulichonacho Michepuko Itawaua Mapema Na Wazimawazima. Mungu Awaokoe Vijana Na Mabinti Wa Tz
 
Back
Top Bottom