Kumwambia Babako kuwa Unampenda

Kumwambia Babako kuwa Unampenda

Kupenda ni kwa aina moja tu hakuna aina nyingi,kutokujua kwetu maana ya kupenda kunatupelekea kuuhusisha na mambo ambayo hata hauna mahusiano nao!

Mmh mpaka baba angu anafariki sikuwah kumwambia nakupenda ngoja nianze na mama najua anaweza kuniona mwehu
 
i love you mom..thanks for everything
i love you dad- thank you for the cash
i love you babe- lets have sex
i love you buddy..thanks for the beer...
 
kabisa na hasa ikiwa huna maziea ya kumwambia hayo

You know my father is a gentelman wakati huo huo type enzi za mwalimu (with moral), so unatakiwa umakini kweli kwenye maneno yako. Ndio uje na swaga za ”Dad i love you" wee unaweza kuangaliwa jicho hilo mpaka ukatamani ugeuke Usain Bolt
 
Eti.....baba nakupenda! mama nakupenda! dada nakupenda!.... ni ngumu sana kwa mazoea/tamaduni zetu.

Ngoja nianze kujifunza.....nitaanza na mama mkwe!:A S wink:
 
Baba yako unaweza kumpenda kwa aina ngapi?
soma kisa hiki cha UK (lakini hata huku kwetu simulizi kama hizi sio ngeni sana....hasa kwa makabila fulani (sitaji!)):

THE bride posed proudly on her big day with the groom on one side and long-lost dad on the other.
But seven years later wife Jane left her husband...for her FATHER.

Now the 36-year-old is riddled with shame over their incestuous affair.
But she confesses she couldn’t stop -herself falling madly in love with her dad, now 56, and having sex with him for two-and-a-half years.

Britain will be shocked by Jane’s story but she has decided to speak out in a bid to help others who might find themselves in a similar disturbing situation – and warn them not to get involved.

Jane – not her real name – has to remain anonymous for fear of the impact on her family and because incest is illegal.
Wiping away tears, she said: “Before this happened, if someone had said to me they were in this type of relationship, I would have said they were sickos.

“But my emotions were explosive and I couldn’t control them. I knew what we were doing was wrong but my feelings for him were so strong I couldn’t stop myself.

“Our relationship was incredibly intense and the fact it had to be kept a secret made it more exciting. But it destroyed me and I will always be ashamed.

“I hope others in my situation will realise it’s not a one-off. But I hope it also gives them courage to walk away from their -feelings and not act upon them like I did.”

.............

If interested unaweza kuendelea nacho hapa: Daughter reveals how she fell madly in love with her dad - Mirror Online
 
Ni naona sawa Kwani ameku fanyia Mengi kwenye maisha kwanini usimwambie unampenda, anakuja Dad kwenye Graduation yangu all the way from Dar kumwambia I love u Dad must ..... Ni haki yake ......
 
You know my father is a gentelman wakati huo huo type enzi za mwalimu (with moral), so unatakiwa umakini kweli kwenye maneno yako. Ndio uje na swaga za ”Dad i love you" wee unaweza kuangaliwa jicho hilo mpaka ukatamani ugeuke Usain Bolt

si bora akuangalie mwengine unastukizia kofi tu
 
Eti.....baba nakupenda! mama nakupenda! dada nakupenda!.... ni ngumu sana kwa mazoea/tamaduni zetu.

Ngoja nianze kujifunza.....nitaanza na mama mkwe!:A S wink:

hahaha mkwe isiwe unafki hana subira
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Back
Top Bottom