Kumvisha Rais Life Jacket inayobana kiasi hiki sio sawa

Yaani kama watu wa logistic,wanashindwa kufanya kwa usahihi kitu kidogo kama hiki,hiyo inakupa picha kamili ya mambo yanavyokwenda hovyo hovyo huko serikalini.

Rais wa nchi anakosa life jacket ya size yake. Kama kitu kidogo kama hiki kinashindikana, wataweza kweli kujua zahanati ya Mahenge, Kyelwa, Ushirombo, Masasi, Inahitaji nini zaidi ya dawa?
 
Probability ya watu wembamba kuzama huwa ni kubwa ukilinganisha na wenye miili mikubwa so life jackets kubwa sana huwa hazipatikani... .. Haaahaa!! Utani tu mkuu.
 
Ziara za kushtukiza hizi, ndio madhara yake😆😆, matokeo ya mambo ya kukuza PR ya kiongozi kwa mapichapicha
 
Back
Top Bottom