Kumuona nabii milioni 1.5 nimechoka

Kumuona nabii milioni 1.5 nimechoka

Nabii amsaidie maeneo ya temboni kuelekea Mbezi , kaambiwa na wasaidizi wa Nabii atoe milioni 1.5 amuone nabii.
Kuhani Musa, Mwamposa kumuona andaa mchele na ng'ombe wa kutosha yaan ni km unafunga ndoa lazima utembeze fomu ya michango
 
Huyo bila shaka ni kuhani Musa.
Very shit.
Anamwita baba halafu kumwona mpaka atoe pesa!
Huyo rafiki yako ni mpumbavu, ni heri hayo mauchawi yamuue tu.
Shangazi yake akimuomba 50k ya mtaji wa nyanya anamzungusha
 
Kuna ndugu yangu anaumwa hoi bin taaban kawekewa mavitu huko kazini na yeye sio muumini wa waganga akaona aende Direct kuonana na baba yake wa kiroho Nabii amsaidie maeneo ya temboni kuelekea Mbezi , kaambiwa na wasaidizi wa Nabii atoe milioni 1.5 amuone nabii.

Baada ya kulipa hiyo hela chawa wa nabii wanamzungusha na kumpa kalenda kuwa angoje siku aliyopangiwa nabii yupo bize

Na risiti ya m 1.5 imetolewa nimechoka

Kiboko ya wachawi hakuwa peke yake.
umwone iliugundue nini.toka hapo kimbia haraka na hela ako
 
Aende makanisa ya kawaida ya kiroho asiangalie majina ya hao watumishi. Akienda na Imani ya kupona atapona vizuri, hao watumishi wakubwa washakuwa kiburi..makanisa madogo dogo hayo kuna watumishi wako vizuri kiroho ni vile tu hawana mambo mengi na wemgi hawawaamini sababu hawana hekaheka
Shida hawa wapumbavu wanataka vilivyotukuka machoni mwa wanadamu ambavyo kwa Mungu ni machukizo makubwa jehanamu inawangoja
 
Kuna ndugu yangu anaumwa hoi bin taaban kawekewa mavitu huko kazini na yeye sio muumini wa waganga akaona aende Direct kuonana na baba yake wa kiroho Nabii amsaidie maeneo ya temboni kuelekea Mbezi , kaambiwa na wasaidizi wa Nabii atoe milioni 1.5 amuone nabii.

Baada ya kulipa hiyo hela chawa wa nabii wanamzungusha na kumpa kalenda kuwa angoje siku aliyopangiwa nabii yupo bize

Na risiti ya m 1.5 imetolewa nimechoka

Kiboko ya wachawi hakuwa peke yake.
Kwa hiyo ndugu yako anatoa 1.5m kwa nabii wa mchongo wewe unaangalia tu halafu unakuja kuandika uzi wa kujisifia kuwa wewe ni Great thinker?
Na huyo ndugu yako amepona?kama bado nicheki private nikupe ushauri wa bure sihitaji hata 100 mbovu kutoka kwako
 
Huyo rafiki yako ndio wewe sasa,makafiri wenzako wamekupiga hela,na unaweza kukuta hiyo hela wala haikumfikia huyo Nabii mtu mnayemuamini,

Kwanini Nabii akuombee wewe badala ya wewe kujiombea mwenyewe? au huyo Mungu wenu ana ubaguzi? anamsikiliza zaidi Nabii kuliko wewe ukiomba mwenyewe?

Kwa ujinga huo endeleeni tu kupigwa mpaka pale akili zitakapo wakaa sawa.
 
Kuna mahali mahali nimetoa maoni yangu kuwa haya makanisa ya kishenzi ya maturubali yapigwe marufuku nikaishia kutukanwa na chawa na wafuasi wa huo ujinga.
Serikali uamke Sasa, inavyozidi kuchelewa ndivyo vizazi vijavyo vitakavyotushangaa hapo baadaye kuwa ulikuaje tukaruhusu huu upumbavu???
 
Mtu na akili zako timamu unakwenda kwa binaadamu mwenzio eti akoombee. Kwani wewe mwenyewe huwezi kujiombea? Usikute huyo unaemlipa akuombee ndio anamkaza mkeo
 
Back
Top Bottom