B M F ICONIC
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 995
- 1,962
Kwa sasa Kama kuna Sekta inayolipa vizuri ukiwekeza ni Unabii na makanisa
Siku hizi wakristo wengi Hawasomi neno biblia ni jambo la kawaida kukuta mtu hajasoma biblia ata mwaka hapa ndio shida inapoanziaAende makanisa ya kawaida ya kiroho asiangalie majina ya hao watumishi. Akienda na Imani ya kupona atapona vizuri, hao watumishi wakubwa washakuwa kiburi..makanisa madogo dogo hayo kuna watumishi wako vizuri kiroho ni vile tu hawana mambo mengi na wemgi hawawaamini sababu hawana hekaheka
Mizengo Pinda.Kuna ndugu yangu anaumwa hoi bintaaban kawekewa mavitu huko kazini na yeye sio muumini wa waganga akaona aende Direct kuonana na baba yake wa kiroho nabii amsaidie maeneo ya temboni kuelekea mbezi , kaambiwa na wasaidizi wa Nabii atoe milioni 1.5 amuone nabii, baada ya kulipa hiyo hela chawa wa nabii wanamzungusha na kumpa kalenda kuwa angoje siku aliyopangiwa nabii yupo bize
Na risiti ya m 1.5 imetolewa nimechoka
Kiboko ya wachawi hakuwa peke yake.
Inategemea,kuna magonjwa yanayotibika hospitali lakini mengine yanahitaji maombiKinachopnesha mtu ni matibabu sahii ya maradhi yake, hakuna nabii mwenye uwezo wa kuponyesha mtu kwa maombi ni ulevi wa kiimani tu.
Afya ya akili, afya ya akili, Afya ya akili....... Tunaangamia kwa Kukosa MaarifaKuna ndugu yangu anaumwa hoi bintaaban kawekewa mavitu huko kazini na yeye sio muumini wa waganga akaona aende Direct kuonana na baba yake wa kiroho nabii amsaidie maeneo ya temboni kuelekea mbezi , kaambiwa na wasaidizi wa Nabii atoe milioni 1.5 amuone nabii, baada ya kulipa hiyo hela chawa wa nabii wanamzungusha na kumpa kalenda kuwa angoje siku aliyopangiwa nabii yupo bize
Na risiti ya m 1.5 imetolewa nimechoka
Kiboko ya wachawi hakuwa peke yake.
Kuamini Mungu ni ushirikina uliopewa hadhi ya kipekee tu.Kuamini tu umewekewa mavitu sijui kazini wewe ni mshirikina,kuamini tu kwamba kuna waganga unaweza kwensa au usiende wewe ni mshirikina kuamini tu kuna nabii unaweza ukaenda ukapona wewe ni mshirikina .ushirikina ni utapeli uongo na upumbavu ,braiwash,illusion,fiction scam
Mngenipa 10,000 ningefanya maombi.Duh, si mngenipa hata laki mbili nikafanya maombi, poleni sana
Mnaacha kumpeleka mgonjwa Hospital mnalipa milioni 1.5 kumuona nabiiKuna ndugu yangu anaumwa hoi bintaaban kawekewa mavitu huko kazini na yeye sio muumini wa waganga akaona aende Direct kuonana na baba yake wa kiroho nabii amsaidie maeneo ya temboni kuelekea mbezi , kaambiwa na wasaidizi wa Nabii atoe milioni 1.5 amuone nabii, baada ya kulipa hiyo hela chawa wa nabii wanamzungusha na kumpa kalenda kuwa angoje siku aliyopangiwa nabii yupo bize
Na risiti ya m 1.5 imetolewa nimechoka
Kiboko ya wachawi hakuwa peke yake.
Mnapoteza muda na fedha, kwa sasa hakuna nabii yoyote. Kuna majizi na vibaka ndio wanawapiga watu kwa uongo wa unabii, kwanza nani aliwapa huo unabii?Kuna ndugu yangu anaumwa hoi bin taaban kawekewa mavitu huko kazini na yeye sio muumini wa waganga akaona aende Direct kuonana na baba yake wa kiroho Nabii amsaidie maeneo ya temboni kuelekea Mbezi , kaambiwa na wasaidizi wa Nabii atoe milioni 1.5 amuone nabii.
Baada ya kulipa hiyo hela chawa wa nabii wanamzungusha na kumpa kalenda kuwa angoje siku aliyopangiwa nabii yupo bize
Na risiti ya m 1.5 imetolewa nimechoka
Kiboko ya wachawi hakuwa peke yake.