🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kula chuma iko bikira wamchongo
Aache kurandaranda atulie katika Imani yake atapoteza rengo.Aende makanisa ya kawaida ya kiroho asiangalie majina ya hao watumishi. Akienda na Imani ya kupona atapona vizuri, hao watumishi wakubwa washakuwa kiburi..makanisa madogo dogo hayo kuna watumishi wako vizuri kiroho ni vile tu hawana mambo mengi na wemgi hawawaamini sababu hawana hekaheka
Endeleeni kuibiwa na hao MATAPELI.Kuna ndugu yangu anaumwa hoi bin taaban kawekewa mavitu huko kazini na yeye sio muumini wa waganga akaona aende Direct kuonana na baba yake wa kiroho Nabii amsaidie maeneo ya temboni kuelekea Mbezi , kaambiwa na wasaidizi wa Nabii atoe milioni 1.5 amuone nabii.
Baada ya kulipa hiyo hela chawa wa nabii wanamzungusha na kumpa kalenda kuwa angoje siku aliyopangiwa nabii yupo bize
Na risiti ya m 1.5 imetolewa nimechoka
Kiboko ya wachawi hakuwa peke yake.
Classic FM ni mali ya CCM sawa na Uhuru FM,Magic fm na tv yake ila Classic imekodishwa kwa Kuhani Musa wa Kanisa la NgomeniKlia malisa mtawala wa kimara temboni na mmiliki wa redio ya classic fm
Tatizo ni kutokuelewa tu,alafu mi ninavyojua huduma ya maombi huwa inatolewa bila malipoSasa si ujioombe wwe mwenyewe na Mungu atapokea maombi yako bila shida, kwa nini uhangaike na watu wengine eti ndiyo wakuombe!?
Kumbe mi najua musa ndo mmiliki. Kaweka vijana wadogowadogo sana paleClassic FM ni mali ya CCM sawa na Uhuru FM,Magic fm na tv yake ila Classic imekodishwa kwa Kuhani Musa wa Kanisa la Ngomeni
Hapo temboni ndio kuna kijamaa kinajiita kuhani musa au siyo huyo ?Kuna ndugu yangu anaumwa hoi bin taaban kawekewa mavitu huko kazini na yeye sio muumini wa waganga akaona aende Direct kuonana na baba yake wa kiroho Nabii amsaidie maeneo ya temboni kuelekea Mbezi , kaambiwa na wasaidizi wa Nabii atoe milioni 1.5 amuone nabii.
Baada ya kulipa hiyo hela chawa wa nabii wanamzungusha na kumpa kalenda kuwa angoje siku aliyopangiwa nabii yupo bize
Na risiti ya m 1.5 imetolewa nimechoka
Kiboko ya wachawi hakuwa peke yake.
Kumbe!Nabii wa mwisho ni Muhammad, hao wengine wote ni kafirs walioweka mbele mambo ya kidunia
Wajinga ndiyo waliwaoKuna ndugu yangu anaumwa hoi bin taaban kawekewa mavitu huko kazini na yeye sio muumini wa waganga akaona aende Direct kuonana na baba yake wa kiroho Nabii amsaidie maeneo ya temboni kuelekea Mbezi , kaambiwa na wasaidizi wa Nabii atoe milioni 1.5 amuone nabii.
Baada ya kulipa hiyo hela chawa wa nabii wanamzungusha na kumpa kalenda kuwa angoje siku aliyopangiwa nabii yupo bize
Na risiti ya m 1.5 imetolewa nimechoka
Kiboko ya wachawi hakuwa peke yake.
Allahu AkbarKumbe!