Kuna ndugu yangu anaumwa hoi bin taaban kawekewa mavitu huko kazini na yeye sio muumini wa waganga akaona aende Direct kuonana na baba yake wa kiroho Nabii amsaidie maeneo ya temboni kuelekea Mbezi , kaambiwa na wasaidizi wa Nabii atoe milioni 1.5 amuone nabii.
Baada ya kulipa hiyo hela chawa wa nabii wanamzungusha na kumpa kalenda kuwa angoje siku aliyopangiwa nabii yupo bize
Na risiti ya m 1.5 imetolewa nimechoka
Kiboko ya wachawi hakuwa peke y
Kuna mwanangu mmoja nae alikuja na hizo story eti anasumbuliwa na vidonda vya tumbo😂😂😂kaenda kwa kuhani mussa kimara kaambiwa atoe 1.5m na alivyo mjinga kaja direct kwangu anisimulia kwa ushujaa kabisa “kaka natafuta 1.5m chap nipeleke” i was shockedUjinga ni kipaji.
Mwakani nafungua Kanisa, namuagiza Waziri mwenye dhamana anipe vibali vyote mara moja, nikija dodoma mimi ni kusaini tu.
Ntapiga pesa hadi nichanganyikiwe. Halafu baba mchungaji atakuwa daddy ake mimi Mbaga Jr
Cc: Poor Brain
Matatizo yote yanaanzia hapa , unapokuwa na imani za namna hii lazima uambilie kilio tu.kawekewa mavitu huko kazin
Hawa Waganga, waliojificha kwenye kivuli cha unabii ni wa kupinga katika jamii.Kuna ndugu yangu anaumwa hoi bin taaban kawekewa mavitu huko kazini na yeye sio muumini wa waganga akaona aende Direct kuonana na baba yake wa kiroho Nabii amsaidie maeneo ya temboni kuelekea Mbezi , kaambiwa na wasaidizi wa Nabii atoe milioni 1.5 amuone nabii.
Baada ya kulipa hiyo hela chawa wa nabii wanamzungusha na kumpa kalenda kuwa angoje siku aliyopangiwa nabii yupo bize
Na risiti ya m 1.5 imetolewa nimechoka
Kiboko ya wachawi hakuwa peke yake.
Unasemaje hawataki kufanya kazi wakati wanafanya kazi ya kuwapiga watu? Hy n kazi tayari ya kuchukua pesa za wapumbavuMwambieni aende hospital aache ujinga, 1.5M anawapa wahuni wasiotaka kufanya kazi.
Tupige pesa za wazembe 🔥🔥Ujinga ni kipaji.
Mwakani nafungua Kanisa, namuagiza Waziri mwenye dhamana anipe vibali vyote mara moja, nikija dodoma mimi ni kusaini tu.
Ntapiga pesa hadi nichanganyikiwe. Halafu baba mchungaji atakuwa daddy ake mimi Mbaga Jr
Cc: Poor Brain
Siijui idadiAfufua wangapi?
Una uhakika anayelalamika ni mkristo?Wakristo tunapigwa vibaya vibaya😃, Mungu tunayemuamini Amekua na madalali? Kwa io ili Mungu akusaidie lazima utoe pesa?
Siyo mpaka aende huko kote! Amtafute mlokole ye yote hapo mtaani amwekee mikono na kuomba,kama ni nguvu za giza atafunguliwa tu.Aende makanisa ya kawaida ya kiroho asiangalie majina ya hao watumishi. Akienda na Imani ya kupona atapona vizuri, hao watumishi wakubwa washakuwa kiburi..makanisa madogo dogo hayo kuna watumishi wako vizuri kiroho ni vile tu hawana mambo mengi na wemgi hawawaamini sababu hawana hekaheka
Sasa si ujioombe wwe mwenyewe na Mungu atapokea maombi yako bila shida, kwa nini uhangaike na watu wengine eti ndiyo wakuombe!?Inategemea,kuna magonjwa yanayotibika hospitali lakini mengine yanahitaji maombi
Kwa nabii musa hapo,😀Kuna ndugu yangu anaumwa hoi bin taaban kawekewa mavitu huko kazini na yeye sio muumini wa waganga akaona aende Direct kuonana na baba yake wa kiroho Nabii amsaidie maeneo ya temboni kuelekea Mbezi , kaambiwa na wasaidizi wa Nabii atoe milioni 1.5 amuone nabii.
Baada ya kulipa hiyo hela chawa wa nabii wanamzungusha na kumpa kalenda kuwa angoje siku aliyopangiwa nabii yupo bize
Na risiti ya m 1.5 imetolewa nimechoka
Kiboko ya wachawi hakuwa peke yake.
Unaweza kuta kudhulumu haki za masikini huko kwenye kazi zake sasa karma inamchapa yeye anaangaika kwa manabii, dawa pekee akiri makosa yake hadharani na awatafute aliowakosea awaombe radhi na atapona!!Wajinga hawatoisha duniani , acha wapigwe tu na alijuaje amewekewa mavitu kazini ? Kwanini asingeenda hospitali?