makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,653
- 109,107
Wajinga ndio waliwao.
Na huyo nabii wa wavaa kobazi sio wakristo nadhani,maana ukristo wamekamilika ati , wagalatia acha tu wapigwe,ukiwasanua wanakimbilia kutukana wa dini zingine wehu hawaKuna ndugu yangu anaumwa hoi bin taaban kawekewa mavitu huko kazini na yeye sio muumini wa waganga akaona aende Direct kuonana na baba yake wa kiroho Nabii amsaidie maeneo ya temboni kuelekea Mbezi , kaambiwa na wasaidizi wa Nabii atoe milioni 1.5 amuone nabii.
Baada ya kulipa hiyo hela chawa wa nabii wanamzungusha na kumpa kalenda kuwa angoje siku aliyopangiwa nabii yupo bize
Na risiti ya m 1.5 imetolewa nimechoka
Kiboko ya wachawi hakuwa peke yake.
DahMngenipa 10,000 ningefanya maombi.
Mtajijua wenyewe, hakuna wakuwasanau, mkiambiwa kweli mnakuja na mada ya bikira 72Wakristo tunapigwa vibaya vibaya😃, Mungu tunayemuamini Amekua na madalali? Kwa io ili Mungu akusaidie lazima utoe pesa?
Huwezi kupona kwa imani bila tiba/dawa huo ujinga mlioachiwa na wazungu kwa kupandikizwa wakati wazungu wao wanatibiwa kwa dawa mahospitalini na waganga wanatibiwa utawaacha vibayaAende makanisa ya kawaida ya kiroho asiangalie majina ya hao watumishi. Akienda na Imani ya kupona atapona vizuri, hao watumishi wakubwa washakuwa kiburi..makanisa madogo dogo hayo kuna watumishi wako vizuri kiroho ni vile tu hawana mambo mengi na wemgi hawawaamini sababu hawana hekaheka
Nabii au kuhani?Kuna ndugu yangu anaumwa hoi bin taaban kawekewa mavitu huko kazini na yeye sio muumini wa waganga akaona aende Direct kuonana na baba yake wa kiroho Nabii amsaidie maeneo ya temboni kuelekea Mbezi , kaambiwa na wasaidizi wa Nabii atoe milioni 1.5 amuone nabii.
Baada ya kulipa hiyo hela chawa wa nabii wanamzungusha na kumpa kalenda kuwa angoje siku aliyopangiwa nabii yupo bize
Na risiti ya m 1.5 imetolewa nimechoka
Kiboko ya wachawi hakuwa peke yake.
Kwenye wakristo andika walokole wa makanisa ya mifukoni.Wakristo tunapigwa vibaya vibaya[emoji2], Mungu tunayemuamini Amekua na madalali? Kwa io ili Mungu akusaidie lazima utoe pesa?
Wakristo wanapenda sana kuwapa pesa manabii wa uongo wakidhani ni manabii wa kweli wataendelea kupigwa pesa hadi akili ziwakae sawa....hata huyo Muhammad ambaye we unaona ni nabii wa kweli nae hamna kitu hapo, hana sifa za kuwa nabii.... mpenda ngono na vita yule. Saahii yupo zake motoni.Nabii wa mwisho ni Muhammad, hao wengine wote ni kafirs walioweka mbele mambo ya kidunia
Nakushaurini kwamba akapimwe hospitali kujua tatizo lake kisha aende kwenye kituo cha uponyaji kwa chakula akatibiwe kwa kutumia chakulaKuna ndugu yangu anaumwa hoi bin taaban kawekewa mavitu huko kazini na yeye sio muumini wa waganga akaona aende Direct kuonana na baba yake wa kiroho Nabii amsaidie maeneo ya temboni kuelekea Mbezi , kaambiwa na wasaidizi wa Nabii atoe milioni 1.5 amuone nabii.
Baada ya kulipa hiyo hela chawa wa nabii wanamzungusha na kumpa kalenda kuwa angoje siku aliyopangiwa nabii yupo bize
Na risiti ya m 1.5 imetolewa nimechoka
Kiboko ya wachawi hakuwa peke yake.
Afufua wangapi?Aende kwa Gwajima. Huwa anafufua hadi wafu.