Topman
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,324
- 6,140
Go f*ck yourselfAllahu Akbar
Go f*ck yourselfAllahu Akbar
Kama unaamini kuna ushirikina that goes against everything you believe in, an atheist does not believe in miracles or supernatural powers.Kuamini Mungu ni ushirikina uliopewa hadhi ya kipekee tu.
Ukichunguza miujiza ya imani za kichawi na miujuza ya Mungu ni ile ile tu tofauti hii ya Mungu imepewa utakatifu ambao hauwezi hata kuthibitishwa tu.
Ona huyu mjingaInategemea,kuna magonjwa yanayotibika hospitali lakini mengine yanahitaji maombi
Wewe ndio mpuuzi kama huyo tu wote mmekua brainwashed kipumbavu shenziHiyo hela bora hata angejenga kigango kijijin kwao MUNGU alivyo MWAMINIFU angemponya
Ushauli wa bure ukitaka huduma ya maombezi nenda TAG ni bure kabisa na vijana wana nguvu sana ya maombi
Lakin ukitaka usali wewe kama wewe nenda mbele ya ekerist ndani ya kanisa katoliki
Ukiufuata huu ushauli hakika umepona
Bila kuweka hiyo risiti ya 1.5M hii itakua majunguKuna ndugu yangu anaumwa hoi bin taaban kawekewa mavitu huko kazini na yeye sio muumini wa waganga akaona aende Direct kuonana na baba yake wa kiroho Nabii amsaidie maeneo ya temboni kuelekea Mbezi , kaambiwa na wasaidizi wa Nabii atoe milioni 1.5 amuone nabii.
Baada ya kulipa hiyo hela chawa wa nabii wanamzungusha na kumpa kalenda kuwa angoje siku aliyopangiwa nabii yupo bize
Na risiti ya m 1.5 imetolewa nimechoka
Kiboko ya wachawi hakuwa peke yake.
Nyie ni wajinga sana hvi watanzania nani katuroga?Kuna ndugu yangu anaumwa hoi bin taaban kawekewa mavitu huko kazini na yeye sio muumini wa waganga akaona aende Direct kuonana na baba yake wa kiroho Nabii amsaidie maeneo ya temboni kuelekea Mbezi , kaambiwa na wasaidizi wa Nabii atoe milioni 1.5 amuone nabii.
Baada ya kulipa hiyo hela chawa wa nabii wanamzungusha na kumpa kalenda kuwa angoje siku aliyopangiwa nabii yupo bize
Na risiti ya m 1.5 imetolewa nimechoka
Kiboko ya wachawi hakuwa peke yake.
Nabii mwanamke? Huyo ndugu yako shule ipo? Mwambie aache mambo ya uswaziKuna ndugu yangu anaumwa hoi bin taaban kawekewa mavitu huko kazini na yeye sio muumini wa waganga akaona aende Direct kuonana na baba yake wa kiroho Nabii amsaidie maeneo ya temboni kuelekea Mbezi , kaambiwa na wasaidizi wa Nabii atoe milioni 1.5 amuone nabii.
Baada ya kulipa hiyo hela chawa wa nabii wanamzungusha na kumpa kalenda kuwa angoje siku aliyopangiwa nabii yupo bize
Na risiti ya m 1.5 imetolewa nimechoka
Kiboko ya wachawi hakuwa peke yake.
Weka Risiti tuioneKuna ndugu yangu anaumwa hoi bin taaban kawekewa mavitu huko kazini na yeye sio muumini wa waganga akaona aende Direct kuonana na baba yake wa kiroho Nabii amsaidie maeneo ya temboni kuelekea Mbezi , kaambiwa na wasaidizi wa Nabii atoe milioni 1.5 amuone nabii.
Baada ya kulipa hiyo hela chawa wa nabii wanamzungusha na kumpa kalenda kuwa angoje siku aliyopangiwa nabii yupo bize
Na risiti ya m 1.5 imetolewa nimechoka
Kiboko ya wachawi hakuwa peke yake.
Watu wanaliwa mkuuKiboko ya wachawi hakuwa peke yake.
Go f*ck yourself
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa MAARIFAKuna ndugu yangu anaumwa hoi bin taaban kawekewa mavitu huko kazini na yeye sio muumini wa waganga akaona aende Direct kuonana na baba yake wa kiroho Nabii amsaidie maeneo ya temboni kuelekea Mbezi , kaambiwa na wasaidizi wa Nabii atoe milioni 1.5 amuone nabii.
Baada ya kulipa hiyo hela chawa wa nabii wanamzungusha na kumpa kalenda kuwa angoje siku aliyopangiwa nabii yupo bize
Na risiti ya m 1.5 imetolewa nimechoka
Kiboko ya wachawi hakuwa peke yake.