Ni kweli kabisa ndugu na ndio maana Mungu anatusaidia sana maradhi yanatupitia mbali sana, afya tele. Tuzidi kumuomba sana bila kuchokasisi tuzidi kumuomba mungu maana likitukuta jangaaa balaaaa itabidi tuanze daftari la mchango litembezwe
hii ni clinic nzuri sana.Ekenywa hospital Dar kumuona 20000 ila huduma zao ni nzuri sana me nimesumbuka na ugonjwa wa ngozi takribani miaka 10 but sasa npo vizuri
Hivi unaelewa tofauti ya General medical doctor na Medical specialist? Kuwa specialistsiyo kitu cha mchezo kijana. Tena hiyo ni ndogo mimi ningekutoa upepo wa Tshs 50,000/= (Consultation fee).
Kwamlalahoi 10000 ni kubwa sana.
hii ni clinic nzuri sana.