Hivi huu utaratibu wa kutoa elf 10 kwenda kumuona daktari kabla ya tiba ni sahihi wajameni !?
Nimetozwa mwekundu kumuona daktari wa ngozi (Temeke Hospital),maelezo niliyopewa na huyo Skin Specialist nikilinganisha na muda nilioutumia kuitafuta hiyo buku kumi hayalingani kabisa.Wa hali ya chin tunaumia maana nimeshindwa kununua hata dawa naona kama nimeenda kumtunza daktari pumbaaavuu.
Serikali liangalien hili naona sasa watoa huduma za afya wameona kugoma ni kupoteza muda badala yake wanacharge pesa ambazo hazistahili.

Post hii hivi ni ya lini?au una makengeza maana post ni ya 2weeks+... & then Tegeta Escrow ni current issue!!
Watanzania wanalialia sana. Yaani efu 10 ndo unaiandikia thread?
Kama una uwezo wa kununua internet bundle na kuingia JF kwanini unalalamika kulipia matibabu? Sasa hivi kuna kuchangia gharama. Yaani wewe una uwezo bado unataka kuipa mzigo serikali. Du kweli ujamaa umetulemaza. Ulitakiwa uwe na bima ya afya hapo ulipo. Hiyo elfu kumi ni ndogo sana. Ulitakiwa kulipa angalau 30Hivi huu utaratibu wa kutoa elf 10 kwenda kumuona daktari kabla ya tiba ni sahihi wajameni !?
Nimetozwa mwekundu kumuona daktari wa ngozi (Temeke Hospital),maelezo niliyopewa na huyo Skin Specialist nikilinganisha na muda nilioutumia kuitafuta hiyo buku kumi hayalingani kabisa. Wa hali ya chin tunaumia maana nimeshindwa kununua hata dawa naona kama nimeenda kumtunza daktari pumbaaavuu.