Kumuona Daktari Tsh.10,000/=

Kumuona Daktari Tsh.10,000/=

Ekenywa hospital ipo eneo gani hapa DSM? Nina tatizo la ngozi,nahitaji kwenda katika hospital hiyo.

Ekenywa hospital Dar kumuona 20000 ila huduma zao ni nzuri sana me nimesumbuka na ugonjwa wa ngozi takribani miaka 10 but sasa npo vizuri
 
Huo ubingwa wake sijauona maana maelezo yake aliyonipa hayatoshelezi kabisa kwa yeye kuitwa bingwa,na kama yangetosheleza nisingesema chochote,mnajivisha majoho ya ubingwa kumbe bure kabisa.Huu ni wizi.

Kama unaweza kufahamu kuwa maelezo ya Specialist hayajitoshelezi, sasa ulienda kumuona ili iweje? Jitibu mwenyewe si unajua?
 
huyo dr wa elfu kumi mi sidhani. huyo atakuwa njaa tu. specialist ni kuanzia 25,000/

hamna ubishi. mi wangu namuona kila mwezi kwa 35,000/
 
KikulachoChako

Mwaka mzima wakikuonea huruma utakusanya laki 4, so hakuna kitu hapo.
 
Last edited by a moderator:
Mbona buku 10 vidogo sana? Kywa dr siyo mchezo. Bia 1 sh 2500.
Huyo ilitakiwa sh 50000
 
We unaelala buku ungekuja kwetu hata huyo general kumuona ni 25000 sijui ungeondoka kimya kimya , hivi mnapumbazwa na serikali kuw eti ni kazi ya wito kwa hiyo huyo daktari ni kama kikaragosi kwa akili zako we jamaa ,

tena usirudie ujinga kama huo kama unaona nyingi kama lalamikie mbunge ama diwani wako maana ndio wamepitisha vipengele vya kuwa wabunge bila elimu, halafu unataka akuletee maendeleo,,,,puuuuzi wewe unadhani huko india ni bure nenda kwa hela zako
 
Watanzania Nyerere aliwaharibu. Mnataka afya bure. Elimu bure. Kila kitu bure. Sasa wewe walalamika kwa elfu kumi ambayo ni consultation fee ya clinical officer au Nurse... ukija tunako charge kwa dola si utakimbia...

Suala la msingi sio kulinganisha wapi wanacharge kwa dola na wapi kwa shilingi, jambo la msingi ni kuangalia uwezo wa wananchi kwanza.
 
Mimi Huwa Najitibu Mwenyewe, Huwa Nagoogle Tu,nauona Ugonjwa Wangu Na Tiba Yake.Naenda Famasi Nanunua Dawa.Huu Mwaka Wa Kumi Sasa Najitibu Kwa Njia Hiyo Tu.

Hujaumwa mkuu....ukishikwa na mshipa utagoogle na ujitibu?ukipata "acute appendicitis" (kidole tumbo) utagoogle na kujitibu? hela kidgo sana hiyo kwa consultation fee...wtanzania bna,unaenda hospital upo "unwell"

baada ya vipimo Unaambiwa upo vizuri unataka upewe ugonjwa hata kama Hauumwi..sayansi Siyo siasa wapendwa..sijui kma mnajua consultation fees kwa nchi Jirani kma Kenya?!msingeongea ya 10000/=
 
Hivi huu utaratibu wa kutoa elf 10 kwenda kumuona daktari kabla ya tiba ni sahihi wajameni !?

Nimetozwa mwekundu kumuona daktari wa ngozi (Temeke Hospital),maelezo niliyopewa na huyo Skin Specialist nikilinganisha na muda nilioutumia kuitafuta hiyo buku kumi hayalingani kabisa.Wa hali ya chin tunaumia maana nimeshindwa kununua hata dawa naona kama nimeenda kumtunza daktari pumbaaavuu.

Serikali liangalien hili naona sasa watoa huduma za afya wameona kugoma ni kupoteza muda badala yake wanacharge pesa ambazo hazistahili.

Naona we umechanganyikiwa kweli, we unaona sh elfu 10 ni Pesa kubwa.

Kwanza nikusahihishe: Ulitoa elfu kumi si kumuona daktari, wewe ndie ulienda kuonwa Na daktari ili atambue tatizo lako Na akupe dawa sahihi. Kwanza hao madaktari nawashangaa kulipisha elfu kumi, Kama mi lawyer sikuoni chini ya elfu hamsini
 
mmh! jamani, hadi hospital za serikali????? hayo mambo tena hiyo ni ndogo kwa private hospital
 
Siku nyingine mnatafutana wagonjwa mnaofana kumi halafu mmoja tu ndio anaenda kumwona dokta,waliobakia wanafanya udukuzi tiba!
 
Back
Top Bottom