Ibravo
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 539
- 202
- Thread starter
- #121
hahaha doktaz wamekua models za museum..
buku ten kumuona unalaumu, unadhani walisoma bure?
Elewa ninachomaanisha,pesa wanayokwapua hailingani na huduma wanayotoa just brabra ambazo hazina msaada wowote kwa mhudumiwa,majoho makubwa lakin sijaona hiko kitu kinachowafanya waitwe Specialist hii ni kwa wachache hasa waliopo hospital za serikali,huku ni kuwaweka wezi na kuwaibia wagonjwa kwa kutumia kivuli cha Specialist pumbaavu.