Kumuamini Mungu lazima uwe na dini za wageni?

Imekuwa vipi Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote akaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea?
Imekuwa vp kwa maana gani kwani ilitakiwa iwe vp?
 
Ndio nakubali.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea ni jambo lisilo na logical consistency, jambo lenye contradiction.

Ni sawa na kusema katika base ten math unakubali kwamba 2 ni zaidi ya 1, na hapo hapo 1 ni zaidi ya 2.

Ukivunja hiyo logical consistency, ukikubali hiyo contradiction, unaharibu mfumo mzima wa namba.

Ukikubali Mungu ambaye ana an inherent contradiction, umekubali chaos yoyote iwezekane, umekubali dunia ambayo haina order yoyote, ambayo hata kuamini Mungu yupo hakuna maana.

Kwa sababu,kuamini Mungu na kutoamini Mungu hakuna tofauti.

Kwa sababu kuamini Mungu ni sawa na kutoamini Mungu.

Kwa sababu contradiction ni kitu kinachokubalika katikaulimwengu huu.
 
Elezea kwanini iwe ni contradiction kwa Mungu mjuzi wa yote,mwenye upendo na uwezo wote kuumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea?
 
Kwa walipofikia katoriki bila hela hupewi huduma ya kiroho.

Naanza kuamini dini ya kwel ni uislam.
 
Hivi linapokuja suala la vitu tulivoletewa na wageni kwa nini tuone dini tu ndo mbaya na tuwe na mijadala isiyoisha?

Binafsi naona ikiwa tunaamua kukataa vya wageni na tunaamini kua tuna vyetu na vinaweza kuendesha maisha yetu hebu na tuvikatae vyote, kuanzia hizo dini, technology, goverment systems, democracy na kila kitu,

Me naona turudi kutawaliwa na machifu coz mfumo wa uchaguzi na maraisi umeletwa na wazungu

Technologia hasa ya mawasiliano inaharibu sana kizazi chetu me naona bora tuiwache tutumie zile za asili zikizokuwepo

Hata sisi tunaokunywa pombe naona bora turudi kwenye matap tapu tuachane na pombe za kizungu

Kila siku tunalaumu viongozi wetu kua wanarudisha nyuma maendeleo na eti hatuwezi kufika mbali, na mbali kwenyew ni kule wanakoonekana wako wenzetu (hao wazungu)

Btw, kabla sijasahau kuna watu humu hawaamini uchawi na ulozi wakti ni asili yetu wazungu ndo wametuletea imani zisizoamini uchawi

Hata shule watoto wasiende coz kwanza zinapoteza mda afu pia zililetwa na wazungu
 
Elezea kwanini iwe ni contradiction kwa Mungu mjuzi wa yote,mwenye upendo na uwezo wote kuumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea?
Tabia ya Mungu huyo ya upendo wote itakuwa contradicted na yeye kuumba ulimwengu ambao viumbe wake inabidi wauane ili wapate chakula, ulimwengu ambao watoto wanazaliwa na vilema vya maisha, ulimwengu ambao majanga hayaishi, ulimwengu ambao hata wanaotafuta kumjua huyo Mungu ana maswali mengi wasiyo na majibu yake, ulimwengu ambao mabilioni ya watu wanaishia kwenye moto wa milele.

Mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote kuumba ulimwengu wa hivyo ni vibaya kuliko Baba anayejenga nyumba yake na kuitegea mabomu ili wanawe wafe.

Na tunaona ni vigumu sana kumpata Baba atakayejenga nyumba na kuitegeshea mabomu ili wanawe wafe.

Sasa hapo ni lazima ukiamini Mungu muweza yote, mwenye ujuzi wote na upendo wote yupo, hawa kinababa wa dunia hii ambao hawajengi nyumba zenye mabomu ili ziwaue watoto wao wamemzidi upendo huyo Mungu?

Maana hawa kinababa hawana uwezo wote, ujuzi wote wala upendo wote, na hawategeshei mabomu nyumba zao ili mabomu yawalipukie watoto wao.

Sasa imekuwaje huyo Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kajenga nyumba (ulimwengu) halafu kategeshea mabomu (kaachia uwezekano wa majanga na mabaya mengi kutokea) ili yaweze kuwaangamiza wanawe (sisi viumbe wake) wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea viumbe wakaishi raha mustarehe?

Huyo Mungu ukimchunguza kimantiki tabia zake zinakuwa contradicted na kinachoitwa uumbaji wake.

Na contradiction hiyo inaonesha kwamba, huyo Mungu ni hadithi ya kutungwa na watu, kiuhalisia kuwepo kwake ni sawa na kuwepo kwa namba 1 iliyo kubwa kuliko 2 katika kuhesabu kwenye base 10 math, au square root ya 2 ambayo ni kubwa kuliko 2.

Ukikubali kuwepo kwa Mungu huyo, kimsingi umekataa logical consistency na umefungua mlango wa kukubali habari nyingine yoyote yenye contradiction.

Umekubali chaos, huna msingi wa kufikiri kimantiki tena, kuhesabu moja, mbili, tatu na kuendelea (kwa sababu ukiendeleza contradiction hiyo kila namba ni sawa na kila namba nyingine).

Hata msingi wa kuandika hapa JF unauondoa, kwa sababu, kila herufi inakuwa sawa na herufi nyingine.

Ukikubali logical consistency, umekubali kwamba Mungu huyo hawezi kuwepo, na habari za kuwepo kwake ni hadithi za watu tu, na mambo yanafuata order, umekataa contradiction, umekubali logical consistency, umekubali number line, alphabet etc.

Kwa hivyo, watu wengi wanakataa kuwepo kwa Mungu bila kujua.

Ukitumia mfumo wenye logical consistency na kukubali kwamba logical consistency ni kitu cha msingi, ukikataa contradiction, umeshamkataa huyo Mungu.

Na huwezi kuandika hapa JF bila kutumia some sort of logical consistency angalau kwenye alphabeti.

La sivyo utaishia kuandika gibberish.

KAASNAJKDFJHWFFQVBUQH`OWEKRKQDJKVBQHVGB18RI`[KJRO`K3OIR0U41HJNVKL
 
Twende taratibu.

Umeona hiyo contradiction sasa hilo jibu la kwamba hakuna Mungu umelipata vp? yani kwanini jibu liwe hakuna Mungu kutoka kwenye hiyo contradiction? kwa sababu inaishia kuonesha kuwa hivyo vitu haviwezekani kwa pamoja vikawa vyote sahihi kwamba huyo Mungu mwenyewe ujuzi wote na upendo wote kuwa pia ndio kaumba huu ulimwengu, ila sasa wewe unatupa jibu moja tu kutoka kwenye hiyo contradiction kwamba hakuna Mungu na si vinginevyo.

Naomba unieleze kwa kina kabisa kwanini hiyo unayoita contradiction ukupe jibu moja tu la kuwa hakuna Mungu?
 
Sawa.

Kwanza kabisa, kabla ya kwenda mbali, umekubali kuna contradiction?
 
Imekuwa vipi Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote akaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea?
MAJIBU YANGU
1.Ni Kweli kwamba Mungu ni muweza wa yote,Ukitaka kujua matendo yake makuu kiufupi unaweza kupitia Kitabu cha Mwanzo na Ayubu,mfano Hapa aneelezea alivyoiumba dunia kwa ustadi.
God stretches the northern sky over empty space and hangs the earth on nothing. He wraps the rain in his thick clouds, and the clouds don’t burst with the weight. He covers the face of the moon, shrouding it with his clouds. He created the horizon when he separated the waters: he set the boundary between day and night. The foundations of heaven tremble; they shudder at his rebuke. By his power the sea grew calm. By his skill he crushed the great sea monster. His Spirit made the heavens beautiful, and his power pierced the gliding serpent. These are just the beginning of all that he does, merely a whisper of his power. Who, then, can comprehend the thunder of his power?” Job 26:7-14

2.Mungu anafanya yote kama 'impendezavyo' ,Siyo Kama upendavyo.

3.Binadamu wote wana uamuzi wa kuchagua,'freewill' ,Mungu halazimishi mtu Kuchagua ila ameelekeza vizuri Matokeo ya kila uamuzi (Choice)
 
Hujajibu swali.

Nakuuliza imekuwaje Mungu mwenye uwezo wote, upendo wote na ujuzi wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea?

Unanijibu Mungu anafanya apendavyo, sio nipendavyo mimi.

Kwani mimi nimekataa hilo?

Unaelewa kwamba swali langu sijaukiza kwa sababu mimi nataka kitu fulani, bali kwa sababu ya kuangalia logical consistency?

Unajua logical consistency ni nini?

Unajua kwamba ukikataa logical consistency hata msingi wa kuamini kuwapi huyo Mungu unatoweka?

Nimekuuliza kwa nini Mungu amependa kuumba ulimwengu ambao una mabaya wakati yeye ni mwenye upendo wote, uwezo wote na ujuzi wote?

Hujajibu swali.

Umeonesha tu huna sababu ya kimantiki.

Unaelewa kwamba free will ni hadithi tu, kwa mfano, mtu hachagui nchi qnayozaliwa, wazazi wake, jinsia yake, blood type yake, genetic makeup yake etc?

Unaelewa mtu akizaliwa Saudi Arabia chances are anakuwa Muislamu for the mist part, na chances are kuna dini hatazisikia mpaka afe? Sasa hapo anapata wapi free will kuchagua mambo ambayo hatayasikia?

Unaelewa kwamba dhana ya free will inaondoa uwezekano wa kuwepo Mungu anayejua yote?

Unaelewa kwamba perfect free will maana yake ni kwamba hata Mungu hajui utaamua nini, kwa sababu una perfect free will na Mungu akijua tu utakachofanya kabla hujafanya ujuzi huo wa Mungu umeshaingilia free will yako?

Unaelewa kwamba hoja ya free will inaondoa uwezekano wa Mungu mjuzi wa yote kuwapo?
 
Hujajibu swali.

Nakuuliza imekuwaje Mungu mwenye uwezo wote, upendo wote na ujuzi wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea?

Unanijibu Mungu anafanya apendavyo, sio nipendavyo mimi.

Kwani mimi nimekataa hilo?

Unaelewa kwamba swali langu sijaukiza kwa sababu mimi nataka kitu fulani, bali kwa sababu ya kuangalia logical consistency?

Unajua logical consistency ni nini?

Unajua kwamba ukikataa logical consistency hata msingi wa kuamini kuwapi huyo Mungu unatoweka?

Nimekuuliza kwa nini Mungu amependa kuumba ulimwengu ambao una mabaya wakati yeye ni mwenye upendo wote, uwezo wote na ujuzi wote?

Hujajibu swali.

Umeonesha tu huna sababu ya kimantiki.
Naona Umejikita Katika pointi namba mbili,umepitia Majibu yangu yote?

A set of statements is logically consistent if they can all be true at the same time. ,Ndiyo maana nayoijua mimi.
 
Sawa.

Kwanza kabisa, kabla ya kwenda mbali, umekubali kuna contradiction?
Hilo swali tutaanzisha mjadala mwengine, mimi nataka tujadili hii hoja ya kwamba hakuna Mungu kutokana na hiyo contradiction.

Kwahiyo naomba uelezee ni vp umepata jibu la kutokuwepo Mungu kutokana na hiyo contradiction?
 
Naona Umejikita Katika pointi namba mbili,umepitia Majibu yangu yote?

A set of statements is logically consistent if they can all be true at the same time. ,Ndiyo maana nayoijua mimi.
Point namba moja ni mahubiri.

Namba mbili nimeijibu.

Namba tatu nime realize baada ya kupost nika edit na kuijibu kabla hujanijibu soma tena.

Kimsingi hoja ya watu kuwa na free will inaonesha Mungu mjuzi wa yote hawezi kuwepo.

A God that is all knowing, all loving and all capable creating a universe in which evil is possible is a cintradiction.

Unaelewa hilo?
 
Hilo swali tutaanzisha mjadala mwengine, mimi nataka tujadili hii hoja ya kwamba hakuna Mungu kutokana na hiyo contradiction.

Kwahiyo naomba uelezee ni vp umepata jibu la kutokuwepo Mungu kutokana na hiyo contradiction?
Tutawezaje kujadili na kuelewana kuhusu derivative ya contradiction kama hatujajadili na kuelewana kuhusu contradiction?

Yani tuna watu watatu.

A, B, C.

Tunataka kujadili kama A ni mjukuu wa C.

Nakuuliza, je, B ni mtoto wa C na Mama wa A?

Unakataa kujadili hilo.

Unasema tujadili tu kama A ni mjukuu wa C.

Tusijadili kama B ni mtoto wa C na Mama wa A.

Ridiculous objection.
 
Mimi dini yangu ya kiislam haijaletwa na Mzungu Wala Muarabu, Ni dini ya Mwenyezi Mungu, nimetambua Hilo baada ya kuisoma Quraan, yaliyomo humo hakuna binaadam anaeweza kuyaandika na kuyaweka humo.
Je Mungu ameweka maagizo yake kwenye maandishi? Kama jibu ni ndiyo basi KUTOJUA KUSOMA ni dhambi kubwa kuliko zote
 
Mimi dini yangu ya kiislam haijaletwa na Mzungu Wala Muarabu, Ni dini ya Mwenyezi Mungu, nimetambua Hilo baada ya kuisoma Quraan, yaliyomo humo hakuna binaadam anaeweza kuyaandika na kuyaweka humo.
Umesema kweli tupu,wengi hufikiria uislamu ni dini ya waarabu,wakati wapo waarabu,wasio waislamu huko huko kwenye nchi za kiarabu,na wapo wasio na dini pia.
Na hiyo Qur'an,imewakemea waarabu waovu wengi tu,na hiyo Qur'an imewapongeza,wasio waarabu wengi tu,kwa kufanya mambo mema.
 
Back
Top Bottom