Kumuamini Mungu lazima uwe na dini za wageni?

Uumbaji ni sifa ya Mungu sijamtenganisha nayo, ambapo hatuelewani na ndipo lilipo tatizo lako ni uhusishwaji wa Mungu na uumbwaji wa huu ulimwengu.
Kwa hiyo unasema Mungu hajaumba huu ulimwengu?
 
Kwa hiyo unasema Mungu hajaumba huu ulimwengu?
Ni kwamba wewe ndio unasema kuwa suala la Mungu kuwa kaumba huu ulimwengu ni kwamba kuba contradiction, ila mimi naamini bila ya shaka kuwa Mungu ndio kaumba huu ulimwengu.
 
Kimantiki, Mungu mjuzi wa yote, muweza yote na mwenye upendo wote hayupo.

Kwa sababu, uwepo wake unakanushwa na dunia iliyopo inayoweza kuwa na mabaya.

Mungu huyo kuwepo na dunia kuruhusu mabaya ni contradiction, viwili hivi ni mutually exclusive.

Ama unaweza kuwa na Mungu huyo, ukawa na ulimwengu usioruhusu mabaya kutokea.

Ama unaweza kuwa na ulimwengu unaoruhusu mabaya kutokea, usiwe na Mungu huyo.

Viwili hivi haviwezi kuapo pamoja.

Tunaona ulimwengu unaruhudu mabaya.

Hivyo, Mungu huyo hayupo.
kama shetani hajawahi kugusa maisha yako ni rahisi kukanusha uwepo wa mungu
 
Jiulize pasipo kuja wakolon uyo yesu na allah mngemjua vip,,achen upumbav eny wajinga,somen historia yenu, token nje ya bix, Mungu hapatkan kanisan wala msikitin bal anapatikana Katk Moyo wako kwa matendo mema kwa watu baki pia kwa taifa lako na majiran zako, Mungu ameshasahaulika mmekumbatia miungu watu ya wageni weupe,miungu mibaguz yenye chuki na uhasama,, Mungu hatambui ayo magenge yenu ya jumapil na ijumaa au jmos...somen historia yenu mujitambue kuwa ninyi bi zaid ya dini mlizopewa mnauwezo zaid ya iman ngen....wajinga tu ndio uamin dini
 
Ni kwamba wewe ndio unasema kuwa suala la Mungu kuwa kaumba huu ulimwengu ni kwamba kuba contradiction, ila mimi naamini bila ya shaka kuwa Mungu ndio kaumba huu ulimwengu.
Unakubali kwamba Mungu mwenye upendo wote kuumba ulimwengu wenye mabaya mengi kama huu ni contradiction?
 
Unakubali kwamba Mungu mwenye upendo wote kuumba ulimwengu wenye mabaya mengi kama huu ni contradiction?
Hili tushajadili tukaishia nilipokutaka ueleze ni vp hiyo unayoita contradiction imekupa jibu la kuwa hakuna Mungu.
 
Hili tushajadili tukaishia nilipokutaka ueleze ni vp hiyo unayoita contradiction imekupa jibu la kuwa hakuna Mungu.
Sawa, tuendelee tena, polepole.

Kabla ya kujadili ni vipi contradiction imenipa jibu kwamba hakuna Mungu, umekubali hiyo contradiction ipo?
 
Jiulize pasipo kuja wakolon uyo yesu na allah mngemjua vip,,achen upumbav eny wajinga,somen historia yenu, token nje ya bix, Mungu hapatkan kanisan wala msikitin bal anapatikana Katk Moyo wako kwa matendo mema kwa watu baki pia kwa taifa lako na majiran zako, Mungu ameshasahaulika mmekumbatia miungu watu ya wageni weupe,miungu mibaguz yenye chuki na uhasama,, Mungu hatambui ayo magenge yenu ya jumapil na ijumaa au jmos...somen historia yenu mujitambue kuwa ninyi bi zaid ya dini mlizopewa mnauwezo zaid ya iman ngen....wajinga tu ndio uamin dini
Ok Mungu unayemuongelea wewe watu waliwezaje kumjua? Maana umesema Yesu na Allah tumewajua kutoka kwa wakoloni sasa huyo mungu au miungu unayoikusudia wewe imejulikana vp au tumeijuaje?
 
Ok Mungu unayemuongelea wewe watu waliwezaje kumjua? Maana umesema Yesu na Allah tumewajua kutoka kwa wakoloni sasa huyo mungu au miungu unayoikusudia wewe imejulikana vp au tumeijuaje?
Kifupi tu njia waliyo tumia wazungu kurithishana dini ndio njia hyo hyo tultumia sie, babu zetu waltumia maandish kwnye mapango na mawe kuifadhi maandiko matakatifu yenye sheria za jinsi ya kuishi kitakatifu, ushahid upoo kitabu kitakatifu kwa taharifa yako ndio reference ya biblia na quran kisiri,,kitabu cha iman ya kibantu ndicho kilizaa maandiko ya biblia na quran kwauwiz wa wahusika wa kiafrika waliotenda maajabu na kugeuza historia na kujipa wao,,kuna meeengi mazito ambayo kama una moyo mwepes wa kupinga pinga na kumuamin mzungi bas swez poteza muda wangu kukuelekeza maa a utaona nakutania
 
Sawa, tuendelee tena, polepole.

Kabla ya kujadili ni vipi contradiction imenipa jibu kwamba hakuna Mungu, umekubali hiyo contradiction ipo?
Nilishakwambia kuwa ukiniuliza kama nakubali hiyo contradiction itakuwa mada nyengine ambayo inataka tujadili kwa kina ni vp hiyo ni contradiction au sio contradiction, kinachonishangaza ni kwamba hata hiyo ikiwa kweli ni contradiction hilo la kuwa hakuna Mungu kutokana na hiyo contradiction umepataje pataje? hicho ndio nataka tujadili.
 
Kifupi tu njia waliyo tumia wazungu kurithishana dini ndio njia hyo hyo tultumia sie, babu zetu waltumia maandish kwnye mapango na mawe kuifadhi maandiko matakatifu yenye sheria za jinsi ya kuishi kitakatifu, ushahid upoo kitabu kitakatifu kwa taharifa yako ndio reference ya biblia na quran kisiri,,kitabu cha iman ya kibantu ndicho kilizaa maandiko ya biblia na quran kwauwiz wa wahusika wa kiafrika waliotenda maajabu na kugeuza historia na kujipa wao,,kuna meeengi mazito ambayo kama una moyo mwepes wa kupinga pinga na kumuamin mzungi bas swez poteza muda wangu kukuelekeza maa a utaona nakutania
Hayo maandiko matakatifu ya wazee wetu walikuwa wanayapataje au kutoka wapi?
 
Hayo maandiko matakatifu ya wazee wetu walikuwa wanayapataje au kutoka wapi?
Mambo mengi yamefichwa na wajanja japo wanajitahd yasijulkane lakn kwa bahat mbaya hata iko kitabu ambacho ndio biblia ya kwel tofaut na icho cha wahuni chenye agano jipya na kale kilichoeditiwa kutoa ukwel,,,biblia ya kwel ipo, kwa bahat mbaya hata wakuitambua ile lugha akuna tenaa maana sote tumeegemea kwenye uzungu
FB_IMG_16196223909209510.jpg
img_1_1617560411436.jpg
img_2_1617560483935.jpg
img_31_1617350601766.jpg
img_7_1617293530069.jpg
img_9_1617293627849.jpg
FB_IMG_16036924518975346.jpg
FB_IMG_16036490015779072.jpg
FB_IMG_16203851625914169.jpg
 
Mambo mengi yamefichwa na wajanja japo wanajitahd yasijulkane lakn kwa bahat mbaya hata iko kitabu ambacho ndio biblia ya kwel tofaut na icho cha wahuni chenye agano jipya na kale kilichoeditiwa kutoa ukwel,,,biblia ya kwel ipo, kwa bahat mbaya hata wakuitambua ile lugha akuna tenaa maana sote tumeegemea kwenye uzunguView attachment 1776531View attachment 1776532View attachment 1776533View attachment 1776534View attachment 1776535View attachment 1776536View attachment 1776537View attachment 1776538View attachment 1776539
Nimeuliza wao wamepata wapi?
 
Nimeuliza wao wamepata wapi?
Mbna nimeelezaaa wao walkuwa na Mungu wao ila si uyu wa dini za leo na walikuwa wakiwasiliana na maraika kupata ujumbe wa Mungu,, achana na awa maraika wenu weupe wenye mabawa,,maraika ni kitu cha kutisha ambacho kinautisho wa hali ya juu hivyo kulkuws watu special mfano wa machief(nabii) ambao ndio walikuwa njia ya muunganiko au njia ya kupeleka ujumbe kwa jamii, na ndio hawa awa wlikuwa wakiyaandika mafundisho ayo ktk mapango na mawe,,ushahid upo
 
Ok twende taratibu.

Sasa kama ni hivyo je mambo yalianza mabadilika kipindi gani na kwa namna gani?
 
Ok twende taratibu.

Sasa kama ni hivyo je mambo yalianza mabadilika kipindi gani na kwa namna gani?
Ilikiwa iv mtu mweusi ndye bnadamu wa kwanza katika hii dunia na ndye asir ya mtu 100%..aw rangi zngne walkuja kmtego ukoo miaka mingi baada ya adam kuumbwa,,na kilichosababisha rangi hizo kuja ni muingiliano wa maraika wahasi baina ya mwanamke mweusi na kupelekea kuzaliwa kwa viumbe waitwao nephilims au machotara ama viumbe wenye laana,, viumbe awa ndio awa wazungu na waarabu ama wachina,,ubaya unakujaje, ubqya unakuja kila races inautakta uo uzaliwa wa kwanza ama utu ama ubora na hapa ndipo uhasama ukaanza dhidi ya mtu mweus na mweupe,,mtu mweupe alfanya uhasama mwng ikiwepo kumletea mweus miungu migeni ambayo ni sanamu, kuabudu mizimu na mapepo,apa il kufupishaa nitapungiza baaz ya mambo,,mtu mweupe ndie chanzo cha gharika la nuhu ilyotokea afrika apo kabla afrika aijameguka kuwa mabara7,,uhasama uliendelea mpka kizaz cha akina musa,ambapo alkuja kuwakomboa watu weusi dhid ya vifungo vya roho na sio kuwatoa utumwani misri,hakuna utumwa wa misri ushahid upo hata kwa biblia,,unapomwongelea mmsri ni sawa na kusema kabila la mnyakyusa na mpare wote wabanti so aimeke sense mbantu amtese nduguye, bal kuna uhuni fulan upo apo,,uhasama uliendelea mpaka katk kipnd cha akina marium uyu nae alizaliwa central afrika ama yerusalem ya kwel nae uyu alizaliwa pasina baba yaana alizaliwa kimiujiza na mama tuu,,na alilelewa kimaficho kumkinga na maadui maana aliwindwa saana ili azuiwe safar yake ya kumzaa christo ama kibantu anaitwa jokisabe ama kudumane mula yaan mzaliwa wa kwanza,,,uhasama wote uo ulkuwa ukifanywa kimwil kwa kutumia dora za wazungu la roman kuzuia mtoto kuzaliwa kwa kuuwa vichanva, pili uhasama wa kiroho kupitia ushirikina,,christo alikuja miaka miingi zaid ya 2000 ilyopita na lengo lake ilkuwa kumkomboa mtu mweus tuuu kiroho na si mtu mwngine, kwa bahat mbaya watu weus weng walimkataa na kushirikiana na wazungu wa kirumi kumsurubisha, bas Mungu aliamua kuleta pigo kwa waafrika kwenda utumwan miaka400,,na ujue kuwa kila waafrika walpokosea azabu yao ilkuwa n kupigwa ama kuchukuliwa utumwa, pia baada ya christo wa kwel kuondoka roman ikivamia yerusalem ambapo ni afrika ya kati,iliwapiga nakuwauwa wengii sanaa waafrika na kufanya wengine kutorokea falmea za nubia ama sudan wengine kush ama ethiopia, wengine south, wengine masharik na wengne magharb uko kwa wanaija,,ujio mzungu afrika umekuwa wa niambaya siku zotee lakn mara hii baada ya kondoka kristo ilkuwa mbya zaid maana waliiba vitabu vyetvya kihistori, wakaiteketeza misri na maktaba yake tote awakuishia apo wakaiba mpka technolojia,,wao walipojua Nguv za muafrika zatokana na Mungu yaan iman ndoo waliamua kuunda dini mbili yaan ukristo na usilam, uislamu umetengenezwa na mrumi kwa kuchukuwa mila za mwarabu na stor za biblia, na biblia imetengenezwa kwa kutumia maandish wa waafrika yenye lugha ya kibantu...so baad ya uvamiz na waafrika weng kutawanywa, wazungu waliludi teena karne ya14 hiv wakianza na wapelelez wafanya biashara na waeneza dini, hapa awa waeneza dini walileta dini ambyo ishafanyiwa kila aina ya uchafu yaan kumpotosha kristo wa kwel, taifa la kwel la israel, ukwel wa manabii, ukwel kuhusu migawanyo ya rangi,ukwel kuhusu siku za mwisho,ukwel kuhusu sadaka na ibada,,so baada ya karne ya14 walpoanza kuja na kupata data kamiki kihusu afrika walilitimiza andiko la kumchukuwa mwafrika utumwan,,waafrika mamilion waliperekwa utumwan weng walkuwa wakitoswa baharin, wengne kukatwa miguu na mikono waliosalia walioerekwa uko amerika ambako wako akina 50cent,jz,beyons,criss brown, na tuliosalia walibaki afrika wakipingana na uhuni uo, dini zao ziliuwa maelfu ya waafrika,,,shahid ni nyiing saana
...biblia ya kibantu ipoo na imeanza ad kutafsiliwa kwa lugha ya kifaransa, na inatafsiriwa na mtu maalum kukwepa uhun wa kudanganya
 
Nilishakwambia kuwa ukiniuliza kama nakubali hiyo contradiction itakuwa mada nyengine ambayo inataka tujadili kwa kina ni vp hiyo ni contradiction au sio contradiction, kinachonishangaza ni kwamba hata hiyo ikiwa kweli ni contradiction hilo la kuwa hakuna Mungu kutokana na hiyo contradiction umepataje pataje? hicho ndio nataka tujadili.
Nitumie namba kuelezea kwa urahisi.

Tunaongelea base ten math.

Umesema 10 ni square root ya 2.

Mimi nakwambia 10 haiwezi kuwa square root ya 2.

Kwa sababu, square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2, haiwezi kuwa kubwa kuliko 2.

10 ni kubwa kuliko 2, na hivyo ukisema 10 ni square root ya 2, hiyo hoja yako si kweli, ina contradiction, contradiction inayoonesha uongo.

Nakuuliza unakubali kwamba kusema 10 ni square root ya 2 kuna contradict ukweli kwamba square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2?

Hutaki kujibu, unasema huo mjadala mwingine.

Kisha unaniambia, hata ukikubali kwamba 10 kuwa square root ya 2 ni contradiction kwenye kanuni kwamba square root ya 2 ni lazima iwe kubwa kuliko 2, hiyo contradiction inaoneshaje kwamba 10 si square root ya 2?
 
Jiulize pasipo kuja wakolon uyo yesu na allah mngemjua vip,,achen upumbav eny wajinga,somen historia yenu, token nje ya bix, Mungu hapatkan kanisan wala msikitin bal anapatikana Katk Moyo wako kwa matendo mema kwa watu baki pia kwa taifa lako na majiran zako, Mungu ameshasahaulika mmekumbatia miungu watu ya wageni weupe,miungu mibaguz yenye chuki na uhasama,, Mungu hatambui ayo magenge yenu ya jumapil na ijumaa au jmos...somen historia yenu mujitambue kuwa ninyi bi zaid ya dini mlizopewa mnauwezo zaid ya iman ngen....wajinga tu ndio uamin dini
Halafu unaambiwa bila Yesu hakuna kufika mbinguni.

Na huku wengine wanakwambia Mtume Muhammad ndiye mjumbe wa kweli wa Mungu.

Sasa hawa Waafrika wote waliokufa bila kumjua Yesu wanaenda motoni?

Hawa Waafrika wote waliokufa kabla ya kumjua Allah na mtume wanaenda motoni?

Mungu karuhusu hawa watu mabilioni waende motoni kuungua milele? Kwa sababu hawakumjua Yesu/Allah ?
 
Back
Top Bottom