Kumuamini Mungu lazima uwe na dini za wageni?

Kumuamini Mungu lazima uwe na dini za wageni?

Eustow Jw

Member
Joined
Jan 1, 2019
Posts
36
Reaction score
62
Habari za leo ndugu jamaa na marafiki.

Naomba ufahamu zaidi kwamba

Unafikiri utaratibu wa kuabudu waliotuleta wakoloni ni sahihi?

Ushajiuliza kama wasingetutawala ingekuaje?

Ushajiuliza kama wangetutawala wachina au wahindi tungekuwa Wabudha au Wakrishna?

Waafrka wanatakiwa kumwamini Mungu kwa utaratibu upi? Wa Waarabu au Wazungu?

Mwisho kumuamini Mungu lazima uwe na dini za wageni?

Naomba kuwasiliana.
 
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Dini ya wageni ndiyo dini gani?
 
We kwanza unaabudu dini ipi? Ya kienyeji au ya kigeni? Tupe kwanza mtazamo wako ili tupate pa kuanzia!
 
Nitakujibu hivi,Ingawa sijajua Elimu yako ya Dini iko vipi,Mungu alimuumba mwanadamu kwa ajili ya lengo moja tu,kumuabudu,hiyo ndiyo tofauti kati ya Wanadamu na Wanyama. Sasa wewe mleta maada ni wajibu wako kumuabudi.

Linapokuja swali la dini zililetwa na waarabu sijui wazungu,iko hivi naamini utakuwa na elimu ya darasani.Tunaposema zamani jamii haikuwa imesambaa kama unavyoona leo watu walikuwa wanakaa sehemu moja au eneo moja tuseme ambalo linajumuisha.

Shamu, Palestina mpaka Misri hiyo ni miji ya zamani sana ukisoma historia za Dini. Pindi mwanadamu anapomkosea Mwenyezi Mungu kwa kumkubusha amekuwa akiwaletea mitume,nazani hoja yako hapo ndipo inapoanzia.

Wale wazazi wetu walikuwa wanaabudi kisichokuwa Mwenyezi Mungu kabla ya kuwafikia Mitume hawana dhambi kwani hawakulijua hilo.

Lakini wewe mwenzangu ambeya Dini ipo mlangoni kwako lakini bado unaulizwa swali kama hilo usipomfuata Mwenyezi Mungu kifo kikakukuta basi wewe ni moja kwa moja motoni.

Kuhusu Dini Mwenyezi Mungu ana dini moja tu,hata mitume wake hawakutofautiana bali aliyekuja alianzia pale aipoishia Mwingine. Mfano Ibrahimu hakusema Nuhu hafai wala Yesu hakusema Musa hafaina hata Mtume Muhammad hakusema Yesu hafai. Sasa Dini ya kweli ni ile amabyo haibagui mitume wa Mwenyezi Mungu ambayo ni Uisilamu.
 
Mimi dini yangu ya kiislam haijaletwa na Mzungu Wala Muarabu, ni dini ya Mwenyezi Mungu, nimetambua Hilo baada ya kuisoma Quraan, yaliyomo humo hakuna binaadam anaeweza kuyaandika na kuyaweka humo.
Imagine Kama mwarabu asingekuja Africa mpaka miaka hii. Tusingekuwa na mwingiliano nao. Ungepata wapi huo muda wa kuifahamu. Na je uko huko kisa umezaliwa ukakuta wazazi wanaenda huko ukaanza kushindiliwa ubongoni mpaka yakaota
 
Uislamu ni kushuhudia kuwa hakuna anayepasa kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allah na Muhammad ni mjumbe wa Allah, kusimamisha swala, kutoa Zakka,kufunga katika Ramadhani na kwenda kuhiji kwenye nyumba ya Allah ikiwa unauwezo.

Imani ni kuamini Allah, Malaika wake, Vitabu Vyake, Mitume wake na kuamini siku ya mwisho na kuamini Qadari (mambo yote yameshapangwa) Kheri yake na shari yake. Ihsan ni kumuabudu Allah kama kwamba unamuona, na hata kama humuoni, basi Yeye kwa hakika anakuona.
 
Mtoto akizaliwa kwenye Dini ya wazazi wake hana dhambi, na hata akifa anaenda peponi,Zambi anaanza kuhesabiwa pale anapobalehe sasa ndipo penye uamuzi aendelee kufuata Dini ya wazazi wake, au aachane nayo afuate Dini ya ya kweli.

Ndiyo maana sisi wengine tumezaliwa kwenye ukristo tukapata sakrament zote lakini baada ya kujitambua tumejikabidhisha kwa Allah
 
Wewe kwa nini uanaamini Dini zimeletwa na wazungu?
 
Habari za leo ndugu jamaa na marafiki.

Naomba ufahamu zaidi kwamba

Unafikiri utaratibu wa kuabudu waliotuleta wakoloni ni sahihi?

Ushajiuliza kama wasingetutawala ingekuaje?

Ushajiuliza kama wangetutawala wachina au wahindi tungekuwa Wabudha au Wakrishna?

Waafrka wanatakiwa kumwamini Mungu kwa utaratibu upi? Wa Waarabu au Wazungu?

Mwisho kumuamini Mungu lazima uwe na dini za wageni?

Naomba kuwasiliana.

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Kila mmoja ana dini Ila sio kila mtu ana dhehebu
 
Mwenyezi MUNGU anamchukia Kila mtu mkatili(mkali) ambaye anakula sana,anapiga makelele sokoni,analala usiku kama mzoga, anapitisha mchana kama punda na anafahamu sana mambo ya dunia, lakini ni mjinga kamili kuhusu mambo ya akhera.
 
Back
Top Bottom