Kumtukana Millard Ayo kwa udhalimu wa serikali ni kumuonea na kukosa mbinu

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,743
Reaction score
6,236
Hii kampeni ya kutukana Millard Ayo matusi makubwa haitasaidia katika harakati zetu, I think we are attacking the wrong or weak person.

Huyu kijana hajawai kuongea jeuri kwa wananchi tofauti na watu kama kina diamond, hata kama kalipwa kupost baadhi ya vitu kama kampeni za CCM au kutopost baadh ya vitu, bado ni kiJana ambae hakupaswa kupewa matusi anayopewa.

Page ya Samia na viongozi wengine zipo, kwanini mumuandame kijana huyu? Kwanini hizi hasira zisielekezwe mahali sahihi? Lakini pia mama wa millard ayo amehusika vipi? Nadhan hii sio sawa kabisa.
 
Nyumbu hazina akili zenyewe zimejaa uoga alafu zinatafuta watu wa kuwasemea, lakini ukiwasemea ukapata matatizo nyumbu hizohizo haziwezi hata kuandamana kwaajili yako

Hizi nyumbu zimemsaliti, Mdude, Soka, Lissu na hata polepole , kwa polepole kila siku zilikua zinajaza comments za kumuonyesha wako pamoja nae lakini baada ya kutekwa nyumbu zote zimekimbia zimesimama kwa mbali zinachungulia tu hazina zinachoweza kufanya zaidi ya unafiki hata kuandamana haziwezi

Sasa sahivi zinamuangushia kila mtu hasira zao Millardayo afanye kazi vile anaona ni salama kwake maana hizi Nyumbu zimejaa unafiki usikae upande wao hata kidogo acha ziendelee kuchezea kichapo, kichapo kikikolea zikaamua zijitetee hapo sasa unaweza kuungana nao lakini siyo sasa, kwa sasa zitakuacha mwenyewe mapema sana.

Nyumbu nyie
 
Mnafki huyo yuko biased!
Mfano tukio la kutekwa mtu hata kama kuna udhibitisho huwa hapost.....

Ila police wakija kureport mtu kupotea ama jaribio la utekaji chap anakuja kupost !!!! Si ujuha huu ?

Bora awe moto au baridi, sio vuguvugu !
 
Nyumbu hazina akili zenyewe zimejaa uoga alafu zinatafuta watu wa kuwasemea, lakini ukiwasemea ukapata matatizo nyumbu hizohizo haziwezi hata kuandamana kwaajili yako

Hizi nyumbu zimemsaliti, Mdude, Soka, Lissu na hata polepole , kwa polepole kila siku zilikua zinajaza comments za kumuonyesha wako pamoja nae lakini baada ya kutekwa nyumbu zote zimekimbia zimesimama kwa mbali zinachungulia tu hazina zinachoweza kufanya zaidi ya unafiki hata kuandamana haziwezi

Sasa sahivi zinamuangushia kila mtu hasira zao Millardayo afanye kazi vile anaona ni salama kwake maana hizi Nyumbu zimejaa unafiki usikae upande wao hata kidogo acha ziendelee kuchezea kichapo, kichapo kikikolea zikaamua zijitetee hapo sasa unaweza kuungana nao lakini siyo sasa, kwa sasa zitakuacha mwenyewe mapema sana.

Nyumbu nyie
Kwa nini ukikosoa inaonekana unapigania watu fulani? Mimi nikisema wizi sio Jambo zuri, hapo nakuwa napigania watu au nakua napinga kwa sababu kweli mm naona wizi sio mzuri?

Nikisema waziri wa ujenzi ameshindwa kazi barabara mbovu, hapo nakua napigania watu au nakua nakosoa sababu ni kweli naona barabara mbovu?

Hoja yangu kwa nini mtu akikosoa unahisi anapigania watu fulani?
 
Hakika upo sahihi..
Wacha wachezee kipigo cha mbwa koko kwanza ...wataelewa mbeleni huko
 
Nyumbu hazina akili zenyewe zimejaa uoga alafu zinatafuta watu wa kuwasemea, lakini ukiwasemea ukapata matatizo nyumbu hizohizo haziwezi hata kuandamana kwaajili yako

Hizi nyumbu zimemsaliti, Mdude, Soka, Lissu na hata polepole , kwa polepole kila siku zilikua zinajaza comments za kumuonyesha wako pamoja nae lakini baada ya kutekwa nyumbu zote zimekimbia zimesimama kwa mbali zinachungulia tu hazina zinachoweza kufanya zaidi ya unafiki hata kuandamana haziwezi

Sasa sahivi zinamuangushia kila mtu hasira zao Millardayo afanye kazi vile anaona ni salama kwake maana hizi Nyumbu zimejaa unafiki usikae upande wao hata kidogo acha ziendelee kuchezea kichapo, kichapo kikikolea zikaamua zijitetee hapo sasa unaweza kuungana nao lakini siyo sasa, kwa sasa zitakuacha mwenyewe mapema sana.

Nyumbu nyie
nyumbu? Acha shombo
 
Hii minyumbu mishenzi ndo maana haifanikiwi, Ina roho ya kwanini sana. Millard amewapiga BAO katika kukamatia fursa basi inakuja kijinga jinga kama hivi. Kwani chombo Cha Millard nani analipia Kodi kama sio mwenyewe, au mnamchangia tone tone?!! Wapumbavu nyie.

Mnataka uhuru Huku mkiwa mstari wa mbele kuzuia uhuru huo. Hii mijitu acha Mungu aendelee kuishisha hivi hivi sababu imejaa visasi sana hii. Ikishika nchi tutapata tabu sana, itokomee huko,...shenzy!!
 
Tulia mwandishi wa mchongo millard ayo dawa ikuingie.

Unajua ya kuwa mwandishi wa habari hutakiwi kuwa biased ???
ID fake unataka mwenzako ambaye Serikali na genge lao la wahuni aandike unayopenda wewe halafu akichezea kifinyo uje uandike hapa #Free_Millard?! SHUBAMITTT!!!

Kama una uchungu kweli na hii nchi siku ya ukombozi inajulikana.
 
Kwa nini ukikosoa inaonekana unapigania watu fulani? Mimi nikisema wizi sio Jambo zuri, hapo nakuwa napigania watu au nakua napinga kwa sababu kweli mm naona wizi sio mzuri?

Nikisema waziri wa ujenzi ameshindwa kazi barabara mbovu, hapo nakua napigania watu au nakua nakosoa sababu ni kweli naona barabara mbovu?

Hoja yangu kwa nini mtu akikosoa unahisi anapigania watu fulani?
Kosoa wewe usilazimishe na mtu mwingine awe wewe
 
Umejibu bila kuelewa, sijasema ukosoe au kulazimisha wengine wakosoe
Nilichosema wanaokosoa wanakosoa sababu ya kupigania mtu au wanakosoa kwa sababu kweli wanaona Kuna makosa yapo? Maana ulisema hata akipigania watu baadae wanakuacha mwenyewe.

Mtu anakosoa sababu kaona Kuna kosa, ni si eti anapigania watu
 
Kwanini mnamtukana Millardayo?
 
Aongezwe list ya kuchomwa moto tar pendwa.......lile babu zungu lile tuna kazi nayee pia......kale katoto uvccm katajuta
 
Hii kampeni ya kutukana Millard Ayo matusi makubwa haitasaidia katika harakati zetu, I think we are attacking the wrong or weak person.

Huyu kijana hajawai kuongea jeuri kwa wananchi tofauti na watu kama kina diamond, hata kama kalipwa kupost baadhi ya vitu kama kampeni za CCM au kutopost baadh ya vitu, bado ni kiJana ambae hakupaswa kupewa matusi anayopewa.

Page ya Samia na viongozi wengine zipo, kwanini mumuandame kijana huyu? Kwanini hizi hasira zisielekezwe mahali sahihi? Lakini pia mama wa millard ayo amehusika vipi? Nadhan hii sio sawa kabisa.
Upupu
 
Back
Top Bottom