Kumshitaki Mbunge Lusinde kwa matusi aliyomwaga Arumeru

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,550
6,062
Hivi kisheria, unaweza kumshtaki LUSINDE kwa matusi aliyomwaga hapa kwenye hii VIDEO? Au kisheria inabaki kuwa ni sehemu ya kampeni? Maana naona kama kwenye kampeni unaweza kupiga hata chini ya Mkanda.

Hivi kuna watu wanaweza kujikusanya na kuchangia kwa mfano gharama kidogo na Tundu Lisu akishirikiana na wanasheria wengine wampandishe huyu jamaa kizimbani?

Hivi kumwaga Matusi mazito mbele ya watoto wadogo kama hao wanaoonekana hapa kwenye Video, katika sheria za Tanzania inaruhusiwa? Kama hapana, kuna uwezekano wa kumshtaki huyu Mgogo wetu?

Naomba Mods muiache hii hapa kwani nimeiweka kitengo cha sheria.
 
Last edited by a moderator:
Ninachokisema ni hiki cha kumwaga matusi mbele ya kundi la watoto hili chini kwenye picha.

Nina imani zinaweza kupatikana Video na picha nzuri zaidi ya hizi......

5.JPG
images
 
Hili ni wazo la msingi kuangalia uwezekano wake, ame'misbehave mbele ya watoto, na kimsingi amebaka haki yao ya kimsingi ya kimalezi. Inashangaza sana kuona hata wenzake walikaa kimya huku akitamka uozo wa aina hiyo!
 
Nafikiri Inawezekana kisheria akashitakiwa,ila kuingia mahakamani kumshitaki mwendawazimu kama huyu mwisho wake na wewe utaonekana mwendawazimu
 
huyu jamaa ni ni ******-rema maana matusi kama yale hapana, yaani imebiddi ni zime iyo video kabla hata hajamaliza
 
eti "Kudadadeki..."! jamani kweli ndio tumefikia huku? tena mtunga sheria huyu
 
LAKINI
Lusinde anasema kuwa anajibu mapigo,ikimaanisha kuwa kuna mtu alianza tatizo tu hatujapata video ya huyo aliyeanza

sijafurahia alichokisema ktk video hiyo lakini nadhani ndizo kampeni zinazoendela huko arumeru kwa vyma vyote sio CDM wala CCM
 
tumeomba ushahidi wenu kwa chadema but kwa ccm huu tumeupata!
 
Hivi hili nalo ni jambo la kutetea? hata kama CDM nao wana matusi.. does two wrongs make it right? Labda nisikilizishe hayo matusi ya CDM kwanza
 
Hivi kisheria, unaweza kumshtaki LUSINDE kwa matusi aliyomwaga hapa kwenye hii VIDEO? Au kisheria inabaki kuwa ni sehemu ya kampeni? Maana naona kama kwenye kampeni unaweza kupiga hata chini ya Mkanda.

Hivi kuna watu wanaweza kujikusanya na kuchangia kwa mfano gharama kidogo na Tundu Lisu akishirikiana na wanasheria wengine wampandishe huyu jamaa kizimbani?

Hivi kumwaga Matusi mazito mbele ya watoto wadogo kama hao wanaoonekana hapa kwenye Video, katika sheria za Tanzania inaruhusiwa? Kama hapana, kuna uwezekano wa kumshtaki huyu Mgogo wetu?

Naomba Mods muiache hii hapa kwani nimeiweka kitengo cha sheria.

Nadhani hii inawezekana kabisa kwani ktk kesi ya Lema wanadai alimtukana mgombea wa magamba, sema sasa si unajua Tz yetu tena?
 
Last edited by a moderator:
Hivi kisheria, unaweza kumshtaki LUSINDE kwa matusi aliyomwaga hapa kwenye hii VIDEO? Au kisheria inabaki kuwa ni sehemu ya kampeni? Maana naona kama kwenye kampeni unaweza kupiga hata chini ya Mkanda.

Hivi kuna watu wanaweza kujikusanya na kuchangia kwa mfano gharama kidogo na Tundu Lisu akishirikiana na wanasheria wengine wampandishe huyu jamaa kizimbani?

Hivi kumwaga Matusi mazito mbele ya watoto wadogo kama hao wanaoonekana hapa kwenye Video, katika sheria za Tanzania inaruhusiwa? Kama hapana, kuna uwezekano wa kumshtaki huyu Mgogo wetu?

Naomba Mods muiache hii hapa kwani nimeiweka kitengo cha sheria.

Nadhani hii inawezekana kabisa kwani ktk kesi ya Lema wanadai alimtukana mgombea wa magamba, sema sasa si unajua Tz yetu tena democrasia iko midomoni mwa watu
 
Last edited by a moderator:
tumeomba ushahidi wenu kwa chadema but kwa ccm huu tumeupata!

hehehehehehe
we kweli henge
hapa hatupo mahakamani mambo ya ushahidi nenda mahakamani ama tafuta crip ya halima mdee usikilize alichokisema juu ya wasila

mimi sina sio CCM wala CDM lakini huwa sipendi sana pale ambapo wanachama wa chama kimoja kujifanya kuwa hawana makosa kulinganisha na chama kingine.

Lusinde anasema

kama ni matusi nae anaweza kwani amechoka kunyamazishwa sasa anajibu mapigo

kwa upande wangu huwezi jibu mapigo kama hakuna aliyekuanza
 
LAKINI
Lusinde anasema kuwa anajibu mapigo,ikimaanisha kuwa kuna mtu alianza tatizo tu hatujapata video ya huyo aliyeanza

sijafurahia alichokisema ktk video hiyo lakini nadhani ndizo kampeni zinazoendela huko arumeru kwa vyma vyote sio CDM wala CCM

Kama anajibu mapigo inamaana mtu akimuuwa ndugu yake nae atamuuwa badala ya kulipeleka hilo suala kwenye vyombo vya sheria.
 
LAKINI
Lusinde anasema kuwa anajibu mapigo,ikimaanisha kuwa kuna mtu alianza tatizo tu hatujapata video ya huyo aliyeanza

sijafurahia alichokisema ktk video hiyo lakini nadhani ndizo kampeni zinazoendela huko arumeru kwa vyma vyote sio CDM wala CCM
Nafikiri ukisikiliza vizuri utaona kila tusi alilokuwa akitoa alikuwa anatanguliza aliyoyasikia kwa chadema. Hii sasa kwangu imeniambia ni kwa nini miswada ya kijinga huwa inapitaga bungeni. Jamani huyu kaka sijui hapo anayeonekana kichaa ni nani??? ccm kuna watu naamini ni baba zangu kama wanatoa baraka kwa mtu kama huyu kutoa matusi akiwa ameeandaliwa mahususi tena mbele ya watoto, anastahili kuangaliwa ni aibu ya kudumu.
 
Back
Top Bottom