Kumsamehe aliye kusaliti

Unasamehe kwasababu hata wewe huwa unachepuka,pia nae ni binadamu, na kama kila ukisalitiwa unaacha,utaacha wangapi?
 
Dawa yake na wewe tafuta kifaa kingine kikali zaidi yake uone km atachepuka tena
kisaikolojia hii haijakaa vizuri kwa kuwa unakuwa unalipiza kisasi hivyo haufanyi kwa starehe kama mkeo alivyogawa kwa raha zake wakati anakusaliti na pia hautapata raha kwa kuwa hautakuwa unapata raha Zaidi ya kufanya kwa kulipiza kisasi kwa mkeo. Cha maana ni kuuchuna tu na kuumia kivyako kila kitu kina muda utasahau tu
 
Rafiki ukweli ni huu, Mwanamke (mke) ni rafiki yako namba moja pale tu haujangundua kama kachepuka au amekusaliti lakini kama akikisaliti na ukajua kwa ushahidi au mkiachana akaenda masimbe huyo ni adui yako namba moja yaani hata akiomba msamaha huku anatoka machozi ya damu.... wengi wamesukumwa na upendo na kijifariji kuwa amebadilika lakini leo hii wamejutia na hawana sababu ya kuwaacha tena
Iko hivi mwanamke akikusaliti na ukagudua lakini akaomba msamaha na ukamsahe tena na kumrudia.. wewe utafanya kama hisani ila yeye atakuona mjinga wake kwa sababu amekusaliti na bado umemrudia anaona hauna pa kwenda
Sio kweli mkuu,kunasababu kadhaa kwanini amefanya hivyo
 
Ndugu yangu nachoweza kukushauri jaribukudadisi kwakina utapata ukweli kwanini umesalitiwa nakwanini anasaliti,sometimes ni vijisababu vya kijinga sana!!Kwa wanaume tunaosalitiwa mara nyingi sababu kuu ni sisi!!
Jipime jitafakari jipe muda kufanya maamuzi!!
 
Ndugu yangu nachoweza kukushauri jaribukudadisi kwakina utapata ukweli kwanini umesalitiwa nakwanini anasaliti,sometimes ni vijisababu vya kijinga sana!!Kwa wanaume tunaosalitiwa mara nyingi sababu kuu ni sisi!!
Jipime jitafakari jipe muda kufanya maamuzi!!
Mkuu kuhusu kumjali namjari saana yaan namsaidia kila kitu yaan tunaish kama kaka yake na dada yake yaan kama kazi Zote nyumban tunasaidiana kila inapobid kama kupika, namsaidia kufua, kuosha vyombo namsaidia pia akiwa katingwa yaan kazi Zote Inshort hakuna kwamba kuna kazi special ya mtu


Kingine kuhusu tendo labda Hua namuulza mara kwa mara kama huenda ni sababu haridhk anasema hapana Hua nauliza usiwe una ekti as if unaridhika ili kunifurahsha mm anasema hapana nardhka kabsa na mm mwenyew namuona round anazokwenda Sasa kama yote hayo anardhka mm ndo nashndwa kuelewana nini tatizo
 
Kwa umri wangu na niliyoyaona ukweli huo ndio mtazamo wangu.. hata kama mimi ndio chanzo cha yeye kunisaliti..
Sawa mkuu sababu naamini hakuna ushauri mgumu kuutoa kama wa mahusiano
 
  • Thanks
Reactions: lup
Mkuu kuhusu kumjali namjari saana yaan namsaidia kila kitu yaan tunaish kama kaka yake na dada yake yaan kama kazi Zote nyumban tunasaidiana kila inapobid kama kupika, namsaidia kufua, kuosha vyombo namsaidia pia akiwa katingwa yaan kazi Zote Inshort hakuna kwamba kuna kazi special ya mtu


Kingine kuhusu tendo labda Hua namuulza mara kwa mara kama huenda ni sababu haridhk anasema hapana Hua nauliza usiwe una ekti as if unaridhika ili kunifurahsha mm anasema hapana nardhka kabsa na mm mwenyew namuona round anazokwenda Sasa kama yote hayo anardhka mm ndo nashndwa kuelewana nini tatizo
Muulize tatizo nini hadi anatoka nje kiurafiki na ukaweka msimamo wako mbele,wakati huo nawewe ukifanya upelelezi wako chinichini
 
Naomba niongelee kidogo ili suala kwa mapana

Kusalitiana kupo duniani na akuta kwisha mpk mwisho wa dunia hii kwa sababu uletrwa na matamanio ambayo ni madhaifu ya kibinadamu. Kumbuka kuwa kila mtu ana mtu wake awe m/ume au m/mke na unapotoka nje ya ndoa au mahusiano ni mtu mwingine wa nje ni kwamba nae anamsaliti mtu wake hivyo ndivyo circle ilivyo.

Wanaume uwa tunaumia sana kusalitiwa na hii imekaa kibaiolojia Zaidi maana wanaume tumeumbwa kama mashujaa na viongozi na wamiliki wa wanawake hivyo kusalitiwa ni kwamba unajihisi kama umevuliwa hivyo vyeo vyote. Ila tukubali kabisa kuwa kusalitiana kupo na ni jambo la jinsia zote mbili kwa kuwa tendo ufanywa na jinsia mbili tofauti kwa hiyo level ya usaliti ni 50/50

Kuhusu msamaha hapa ndio kuna mtihani mkubwa sana ambao bila ya Imani ya dini unaweza kushindwa kusamehe maana msamaha kibinadamu ni kitu kigumu sana. Biblia kwa wakristo inasema samehe saba mara sabini yaani hata mtu akifanya kosa na kurudia tena na tena na akaomba msamaha anapaswa kusamehewa (dhana ya saba mara sabini). Kwa wanandoa kusameheana ndio msingi mkubwa wa ndoa pamoja na kupendana na kuvumiliana ukiyawezxa haya utaishi vizuri katika ndoa na ukishindwa mojawapo bado ndoa uwa ICU.

Kwa kuwa binadamu tumeumbwa na mapungufu na pia kukosea ni ubinadamu basi mtu au mwenza akikuomba msamaha msamehe kwani hakuna bnadamu mkamilifu bora zimwi likujualo kuliko kuvunja ndoa na kuanza mahusiano mapya ambayo baadae nayo yatakuja kuwa kama hayo ya mwanzo au kuwa mabaya Zaidi kwa kuwa hakuna mkamilifu chini ya jua. Tuvumiliane na kusameheana

Ni ngumu sana ila hamna namna duniani hamna mkamilifu tuachane na kulipiza kisasi tutajiangamiza Zaidi maana unapomchikia mtu sumu ya chuki na hasira inakuumiza wewe Zaidi kuliko unayemchukua

ASANTENI
 
mkuu...unaweza kusamehe ila kusahau ni ngumu
mie nakumbuka nilivo oa..wife baada ya miezi tu enzi izo ndoani..akaanza kuchat na ex wake, kutumiana vipicha half naked kumtamanisha sijui kawa mke wa mtu...uwezi amini niligundua..niliumia..niliumia aliona machoni mwake kaniumiza mme wake...alipagawa..maana nilipiga kimya baada ya ye kujua nimeona ule upupu..alinyooka..alitubu..ila mpaka kesho haamini sikumbutua sikumkwida wala sikumfanya chochote il hali kipindi cha uchumba ndo zilikua zangu ..

wanawake hawajui wanachotaka mostly, so ukishindwa kumsamehe jua ndo basi... na mimi nilimsamehe kwasababu alizingua na bila sababu..nikasema nisimbane sana maana hajijui alichofanya
 
Back
Top Bottom