Maana yangu ni kwamba moto huwezi kuuzima kwa kuwasha moto tena,, moto hauzimwi kwa kutumia petroli au mafuta ya taa bali unazimwa kwa maji au mchanga au fire extinguisher powder, hii yote itategemea na aina ya moto wenyewe.
Mantiki yangu kwa ujumla nikwamba kama binti kakusaliti hebu mkaushie, mwacheni atembee na mia zake nawe utembee na hamsini zako, hata kama kama ni vip yan kum convice binadam mwenzako akukubali na asichepuke ni ngumu kiasi flan, alaf pia human being is a free being to make choices,
mi kwamfano demu wangu aliniletea ujuaji kiburi kingi kinyama, nkimpigia simu anaongea kwa dharau, mara eti yupo bize, nkawa simuelewi kiujumla, hahaha mwanaume nkaamua kula na hamsini zangu nkaanza kumpotezea, simtafuti wala sina shobo tena nkaanza kuwaza maendeleo yangu binafsi, mda mwingine mtu ukijifanya unamoyo wa kumpenda mtu kwa dhati anaanza kuvimba bichwa.
'Yan auaye kwa upanga sharti naye auliwe kwa upanga',
Sent using
Jamii Forums mobile app