Kumradhi Mh Zitto Kabwe

Mwizi akija na kukuibia kitu ambacho ulikuwa unakihitaji kwa kiasi halafu akaja kukuuzia ukakataa wewe ni mtu makini. Hitaji la kitu chako likikuzidia utapiga magoti kwa mwizi wako akuuzie? Dowans a.k.a Loliondo ni kampuni ya kilaghai kama ilivyokuwa Richmond. Iliingizwa nchini kwa baraka za JK (akilipa deni x) na kwa msaada wa Ra. Nilishasema kuwa hii mitambo ni lazima inunuliwe. Kununuliwa kwake hakuhusiani hata chembe na hali ya umeme nchini. Kwa maneno mengine deni lazima lilipwe na hakuna wa kulilipa isipokuwa serikali. Kama vichwa vyote vya wasomi wetu vinategemea dowans kuiokoa nchi na tatizo la umeme basi inatubidi tuwaulize walipokuwa watoto walikuwa wanapata lishe ya namna gani.
 
At last nimekusikia mkuu wangu maanake nilianza kujiuliza mengi sana!...kumbe tupo bus moja! Ufuuuuuuuuh, raha ilioje, nashusha pumzi zangu.
 
viongozi wa upinzani kuweni macho (kama kweli ninyi ni genuine wapinzani), CCM wajanja sana...mnajua wazi kwamba kuwepo kwenu kwenye hizo kamati zao sio bure...unless na nyie mnaweka maslahi binafsi mbele ya maslahi ya taifa

tulitegemea viongozi wa upinzani ndio muwe mstari wa mbele angalau kututetea bungeni, lakini matokeo yake inaonekana CCM wamesha take advantage na kutumia umaarufu wenu kuhalalisha ulaji wao

in the future mtashindwa kuwawajibisha au kuwakemea mafisadi au hata ku mention ufisadi kwa sababu ya haya mnayofanya sasa.
 

wakati tunasota na giza huyu mheshimiwa alisema hivi:

"LIWALO NA LIWE NA HATA IKIBIDI TAIFA KUINGIA GIZANI SITOJALI"


haya uko wapi huyu na wale wapiganaji wake ambao wengi wao wako Ulaya,USA na CANADA wakishinda kwenye computer zao na sana sana the closest wamefika Tanzania ni issa michuzi blog
 
I'm a good supporter of national benefit regadless of my party stance toward the ruling party and I would like to congratrulate mhe. Kabwe, Hongera, whatever you think is good for the country then it's your duty to do your paliamentary obligation. Don't always follow some members stance that "we are against this party,no matter what" Please always follows your instinct and do the right thing for your country, sio eti kwa kuwa you're against most of CCM policies ndio ubakie kimya hata kama kuna issue itakayoleta manufaa kwa kutoa sauti yako.
Hizi ndio siasa tunazozitaka, you are against bad ventures but also reasonable on few good ones for te benefit of your country. Nasema kudos Kabwe! you're doing the right thing. Don't worry about the moaners, you will always have some through your political journey.
 

DC, na wala hutabaki pekee yako kamwe, Watanzania tumeshaamka siyo tena kama wa mwaka 47. Zitto alipopigia debe ile mitambo ya kifisadi alichemsha tena sana tu wala siyo siri.
 
nchi iko gizani na sie tulio on the ground ndio tunasulubika

walioko ulaya ahhh wao wamekaa kwenye viti kupinga na kutoa hoja ndefuuuu

kazi kweli kweli
 
nchi iko gizani na sie tulio on the ground ndio tunasulubika

walioko ulaya ahhh wao wamekaa kwenye viti kupinga na kutoa hoja ndefuuuu

kazi kweli kweli

Pamoja na hayo Big No to DOWANS!
 
Kwa hiyo wewe unaunga mkono ununuzi wa mitambo ya kitapeli ili mradi taifa lisiingie gizani?
 
Mie hamu yangu ni kusikia yale atakayowaambia waandishi wa habari kesho. Baada ya hapo hunda nikapigia mstari maneno ya wahenga, "SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA".
 
adha ya giza tunaijua sie tulio on the ground

nyie matawi ya juu kaeni tuu huko
 
Yani hawa Tanesco wangekuwa China sijui ingekuaje.Wewe pesa mmepewa mwaka mzima hawajaagiza mitambo !halagfui leo wanatukuimbusha Dowans?k
 
Sijajua wala siamini kama watanzania ni wagumu sana kuweza kuzuia mitambo ya Dowans isinunuliwe.Kama JK angetaka inunuliwe bila shaka hakuna wa kuzuia, jamani nchi hii hatuna hizo sifa , ni wapigaji wa kelele.

Swala ni je mwananchi wa kawaida anafaidika nini na hali ya sasa na hii mivutano??

Yaani nguvu za kupinga ufisadi Tanzania zimefanikiwa kwenye kuzuia Dowans!!!!! sitaki kuamini hilo

Hii ishu inanichanganya wakuu, kama tunaweza kununua Dowans si tunaweza kununua mingine badala yake, kama ishu hii waamuzi wa mwisho ni wakubwa, ambao hakuna mtu yeyote wa kuwafanya lolote(kama hupo jitokeze) kwa nini basi tusikubaliane nao??? People are dying out there!
 

heshima mbele mkuu.......tuko ukurasa mmoja............
 

walewale mafisadi, yaleyale mafisadi yanaji-recycle kama ma-vyuma chakavu...
 
haya yote ni kutaka kutetea wizi ili wachache wafaidi
 


Mkandara,

Watz kama hawa ndo wanaohitajika. Unajua unaweza ukawa Chadema tena kada, mwanzilishi na kweli mzalendo lakini mawazo yako yakajengwa na kwenye misingi ya CCM. Afadhali ingekuwa misingi ya Mwl. JKN.
 
nchi iko gizani na sie tulio on the ground ndio tunasulubika

walioko ulaya ahhh wao wamekaa kwenye viti kupinga na kutoa hoja ndefuuuu

kazi kweli kweli

Nasisi tulioshimoni je? No Dowan even the sun. Better to stay as always
 
Zitto is a champion on this issue.
After being given technicalities of buying,transportation and installation of new machines he realized that,no way can new machines be bought and operate in time before the country be in DARK.
It could be wise to buy those for emergence while procedures are made to tackle the problem once and for all.
"Strong man is the one who stands alone". Zitto you're the one.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…