JK anakwenda Marekani mara kwa mara. Huko ndiko yaliko makampuni mazito kabisa yanayounda haya majenereta ya kuzalisha umeme. Ameshindwaje kuomba ayatembelee na kuongea nao wamsaidie kumaliza tatizo hili. Au muda mwingi anautumia kwa madaktari wake? Lakini aliweza kuonana na akina Bill Gates, Hasheem Thabiti na yule mchekeshaji! HATUMSAIDII RAIS WETU.