mkuu hapa kwa hili kuingiza.imani za.dini.unakosea tena sana.mimi sijawahi kuona kitabu cha dini hata kimoja kilichosema mwanamke apigwe hovyio kiasi hichi.na kama binadamu wa leo wangeish kwenye ndoa zao kama vitabu vinavyosema.leo asingekuepo mtu anayejutia ndoa yake
nikweli kua mwanamke yuko chini ya mumewe hilo halipingiki na halitabadilika ila pia ipo misingi ya kuish na mke na pia yapo majukumu ya mke na mume.hivyo vitabu ulivyovilenga wewe vinamtaka mume kuitunza familia yake kwa mahtaji yote.tena jukumu la mke ni kumhudumia mumewe kimapenz na kumzalia tu na sivinginevyo.hata kumnyonyesha mtoto sijukumu.la lazima kwa mke ila.anatakiwa alipwe kwa kazi hiyo au akusaidie kwa kupenda.na.hata vitabu viine.alivyoteremsha.mungu tukianzia taurat hakuna sehemu inayo.sema.mke.apigwe na kunyanyaswa.ila.hayo.ni ushetani wetu tusipakazie dini na vitabu