habari jamani. kuna kaka apa mtaani kahamsha watu usiku huu.kampiga mkewake mbaka kamvunja vidole vitatu vya mkono. kisa ajakuta chakula na asubuhi kaondoka ajaacha ata sh.kumi na ana watoto wawili maskini watoto wanalia kama wao ndo wamepigwa. swali kwa wakaka ivi kupiga ndo njia ya kutatua tatizo manaake imekuwa ni kama ka mchezo kwa wakaka wengi kupiga wake zao
wee mwanamke bila kumtia kwara na mingumi huwezi ishi nae. makonde once in a while never hurt anyone.
baada ya hapo unamwambia njoo basi bby uchezee dushelele...rahaaa