Kumpiga mkeo sio poa kabisa

Kumpiga mkeo sio poa kabisa

mfano we mwanaume gan matako wewe huna akili lione lipolipo tu, mbele ya mwanaume na ww mwanaume. Yaan sijui kilini kuta nini kuolewa na mbwa kama wewe,? Hapn mbele ya watoto then mwanaume unakuja na swaga beib samahan afu unambusubusu khaaaa halooo aah aah ukifikia hatua hy badili tu jina kama unawatoto jiite tu mama epi mana hakuna mwanaume hapo... Sifa ya mwanaume vamshii
si nchenzo
 
imajini ndio wife: we mwanaume gani, matako wewe huna akili lione lipolipo tu, mbele ya wanaume na ww mwanaume. Yaan sijui kilini kuta nini kuolewa na mbwa kama wewe,? Hapo mbele ya watoto then mwanaume unakuja na swaga: beib samahan afu unambusubusu khaaaa halooo aah aah ukifikia hatua hy badili tu jina kama unawatoto jiite tu mama epi mana hakuna mwanaume hapo pia mwambie mkeo anunue dilido akukazie...,
Yes huu ndio mfano wa situation ambazo unasikia mwanamke kapihwa Sasa mtoa mada ilibidi atuwekee alternative je tufanye nini badala yake yeye anasema sijui mikono imeumbiwa kumkandakadna na kumpaka mafuta Yes ni kweli lakini sasa hapa unazungumzia hatupo kwenye amani kakutukana mbele ya watoto
 
Moangaji wetu kapigwa juzi
Jicho nyanyaa😂😂
na ukichapwa makofi na mkeo chumbani usithubutu kuripoti polisi chonde chonde Mwanaume Kamili.

Wajuba wakijua utajuta na kuteseka maisha yako yote.

ukigongwa mangumi na mateke na mkeo,
bora hakuna alieona wala kujua ni wew na yeye tu, haina shida kabisa
na siku zingine ukiwa unapigwa washa radio hadi mwisho ndio watu wasikie kibano unachokula chumbani.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom