Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,325
- 16,594
Eeeh...!amina.... msipige wake zenu jamani sio ngoma
even booty slappin' mama?
Eeeh...!amina.... msipige wake zenu jamani sio ngoma
Sidhani kama kuna ukweli kwa hiliNdoa ni photocopy jinsi wazazi walivyoishi.Mtoto kama alishuhudia mama yake akipigwa bezwa mbele yake nae atahitaji Mwanaume type ya baba yake.
Akimpata muungwana na mstaarabu atamchokoa hadi apigwe ili ajaze Lile gap la hisia lililochwa na makovu ya yake aliyokuwa alishuhudia mama yake akipigwa
thats a slapping papaa, ina wakati wake daddie, haiwi ya kugombana ni ya mahabaEeeh...!
even booty slappin' mama?
huyuu kaoa ana roho ya ibilisi kuwakatisha tamaa vijana wasioe.Hatimaye umesaliti kambi 😂
Thank you for supporting ndoa ishuzi
Kabisaushauri wako ni mzuri tukwepe kuwapiga wake zetu.
Oh sawa ile ni romantic slaps on the ass ,nilifkiri na hiyo hamtaki.thats a slapping papaa, ina wakati wake daddie, haiwi ya kugombana ni ya mahaba
Huwa unazipanga na mumeo?Hiyo ilikuwa zamani siku hizi na sisi tunazipanga, anakandwa mtu mpk anapoteana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na itakua anambonda mkewe ili anune apate sababu ya kunyetukahuyuu kaoa ana roho ya ibilisi kuwakatisha tamaa vijana wasioe.
Sawa mkuu kweli hakuna lenye mwanzo lisilo na mwishontarudi baadae
😂 ntamvunja matrakuoHiyo ilikuwa zamani siku hizi na sisi tunazipanga, anakandwa mtu mpk anapoteana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lipo kama ulijui hili,ipo nguvu inayoshikilia Tabia kupitia blood lineSidhani kama kuna ukweli kwa hili
Lipo kama ulijui hili,ipo nguvu inayoshikilia Tabia kupitia blood lineSidhani kama kuna ukweli kwa hili
hiyo ni muhimu sanaOh sawa ile ni romantic slaps on the ass ,nilifkiri na hiyo hamtaki.
Na huohuo mwili ulioulaza Hapo juu naugonga ngumi moja tu ya uso hautudi tena 😂Hiyo ilikuwa zamani siku hizi na sisi tunazipanga, anakandwa mtu mpk anapoteana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama lipo iweje ukaoe ukoo wenye tabia kupitia blood line?Lipo kama ulijui hili,ipo nguvu inayoshikilia Tabia kupitia blood line
Naona mmeanza kutunishiana misuli, chonde chonde msichapaneNa huohuo mwili ulioulaza Hapo juu naugonga ngumi moja tu ya uso hautudi tena 😂