Pole sana leahYaani haya mapenzi ni ya ajabu sana, kuna mtu nampenda sana ..kwakuwa anajua nampenda basi ndiyo ananinyanyasa kweli..
Nimekuwa mtu wa kulia tu...
Jana nimemkuta na msichana mwngine tena nahisi atakuwa bado mwanafunzi nikajifanya sijaona nikageuza haraka na kurudi home, nikijua atarudi home tuyaongee lkn mpaka hivi ninavyoandika hajarudi tangu tuonane ile Jana.
Nikipiga simu haipokelewi..nateseka sana jamani....msaada please ila mapenzi yanaumiza sana..
Sawa Leah, ila hujasema nini ulikosea. Au unatamani kurudiana na ex hubby[emoji1] [emoji1]Mapenzi hayana masters wala phd
Ni rahisi kusema hivyo kwa sababu hayaja kukuta nimetoa mfano mmoja tu lkn kuna mengi nimeyavumiliaAisee watu mnavyoshauri waachane daaaah...ila ndo shida ya kizazi cha leo hayo maswala bada ya kukaa na mwenzio mzungumze unakimbilia kwenye social media...mi nafikiri mngeulizana wawili na akwambie nini ambacho kimepungua kwako anakifata kwa huyo mwengine....inawezekana unampenda lakini kuna vitu unakosea...humu washauri tupo wengi utajazwa upepo mwisho wa siku utachukua maamuzi ambayo yatagharimu mahusiano yako..so ni vyema kuwa smart katika hili.Zaidi sana pole kwa yote yaliyokukuta mwombe Mungu kwa imani yako na zungumza na mwenzio kupata ufumbuzi wa hilo
Sasa mbona unakataa ku-share na sisi, ulikosea nini?[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu huwa sina Tabia ya kurudi nyuma huko nimeshapita nasonga mbele
Lina maana kubwa sana kule kwetu, unataka kujua?
Sana yaan, hata mm naamini ipo siku ntampata tu wa kufanana nae.Haswaa ila kuna watu wana bahati wanapata watu wenye upendo wa dhati na maisha yanasonga mbele
Funguka na Uzi kabisa tuone nani mwenye makosa mana binadamu hatuna asili yakukubali kwamba sisi ndo aakosaji hali wao ndo wakosajiTena makubwa zaidi yako lkn mm nimeamua kujiweka kando kimya kimya. Tunaongea ila ndio hajui moyoni nawaza nn.
Ninong'oneze mrembo Leah[emoji12] [emoji12]Si kila kitu cha kusema mkuu
Hahah uzi tena hapana, ila kuna mtu nimekuwa nae kwa muda kumbe alishaweka commitment kwingine na hajaniambia. Nasikia tu watu.Funguka na Uzi kabisa tuone nani mwenye makosa mana binadamu hatuna asili yakukubali kwamba sisi ndo aakosaji hali wao ndo wakosaji
Kumbe unasikia tuuu...ona sasa ila wanawakeee...aiseeeHahah uzi tena hapana, ila kuna mtu nimekuwa nae kwa muda kumbe alishaweka commitment kwingine na hajaniambia. Nasikia tu watu.