Hata kadi za harusi nimeonaKumbe unasikia tuuu...ona sasa ila wanawakeee...aiseee
Sio kwamba hayajanikuta...ila hoja yangu kwa nn msizungumze kwa kinagaubagaNi rahisi kusema hivyo kwa sababu hayaja kukuta nimetoa mfano mmoja tu lkn kuna mengi nimeyavumilia
One day you will be on an open road and he won't have you back my dear...Yaani haya mapenzi ni ya ajabu sana, kuna mtu nampenda sana ..kwakuwa anajua nampenda basi ndiyo ananinyanyasa kweli..
Nimekuwa mtu wa kulia tu...
Jana nimemkuta na msichana mwngine tena nahisi atakuwa bado mwanafunzi nikajifanya sijaona nikageuza haraka na kurudi home, nikijua atarudi home tuyaongee lkn mpaka hivi ninavyoandika hajarudi tangu tuonane ile Jana.
Nikipiga simu haipokelewi..nateseka sana jamani....msaada please ila mapenzi yanaumiza sana..
Duuu...hapo pazito..pole sana..labda imani yake inaruhusu kuoa zaidi ya mmoja..kwa hyo inawezekana kaanza na huyo na wewe damu yako inakujaHata kadi za harusi nimeona
Walah kbsKhee ndyo hayo nsamaka?
Kwa hyo alishawasha green light...ni wewe tuu unachelewa kuondosha gari...aisee mahusiano haya...Ukiona mpaka nimeandika hapa maana yake nimeshafanya kila jitihada
Mmmh no way out, mm ni mkirsto hai kbs. Nimeamua kuwa mpole tu ili maisha yaendelee.Duuu...hapo pazito..pole sana..labda imani yake inaruhusu kuoa zaidi ya mmoja..kwa hyo inawezekana kaanza na huyo na wewe damu yako inakuja
Mahusiano ya siku hz sijui yakoje, uaminifu ni zero kbs. Dah heri hata ningesomea wito wa usista.Kwa hyo alishawasha green light...ni wewe tuu unachelewa kuondosha gari...aisee mahusiano haya...
Mwenzangu ni makubwa ila inabidi tu niyakabili, hakuna jinsi.Naona yako makubwa zaidi ila pole Mwaya usikate tamaa utampata tu wa ukweli