Kumpenda mtu asiyekujua

Kwa nini usimwambie avae pedi mkuu ni kavu na sijui nini na nini.....kama kwenye tangazo
 
endelea kumpenda uwez jua labda mungu kapanga ndo awe mume wako
mda ukifka utakutana nae na mtaona ila kama si wako utaendelea kuchafuka tuu yy uko akiwa anakula wengne
ahaha muda ukifika! naweza nikasubiri huo mda mpaka kifo halaf ikawa olaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…