Kumpenda mtu asiyekujua

Kumpenda mtu asiyekujua

Jamani mwenzenu kuna huyu kaka ni mwigizaji wa nchi za nje naomba nisimtaje nimetokea kumpenda kiasi nikimuona tu anaigiza, picha zake chupi inakua inalowa bila kukusudia nampenda nikisikia kimempata kitu kibaya naweza nisile siku nzima namuwaza yeye tu.

Yani nimekuwa nikisali namuombea kila siku yamkute mazuri na apate mafanikio makubwa kuliko navojiombea mwenyewe. Nikiona watu wanamsema vibaya najisikia vibaya mood yangu inaharibka siku nzima. Tatizo nampenda mtu ambae hajui kama kuna mtu kama mimi naexist.

Jana nimeingia Instagram account yake nimekuta watu wanamsema vibaya usiku mzima sijalala naota maruweruwe namuwaza yeye. Sijawahi kupenda kama hivi sidhani kama itakuja kutokea katika maisha yangu kumpenda mtu kama hivi.

Sijui kimentokea nini, sikuwahi kuwa fan wa mtu fulani kiasi cha kumpenda kiasi hiki ndo mara yangu ya kwanza kuwa fan wa mtu na kumpenda. Kumuombea mazuri tu yampate kuliko navojifikiria mwenyewe. Hivi hii ni kawaida kweli au inawezekana nina ugonjwa wa saikolojia?

Obsession............ Ugonjwa wa akili huo,nenda kamwone daktari wa msgonjwa ya akili ( psychiatric) atakusaidia dada
 
Pole kwa hiyo hali inayokukuta mdada,hizi fantancy walizonazo wadada ni hatari mimi sijui ni mdada wa aina gani kila kitu nachukulia kawaida sinaga obsession na kitu chochote
 
Dada unatatizo la kisaikolojia ni pm nitakusaidia uondokane na tatizo hilo kitaalamu tunaita "kisununu" au "kishalalwa".
 
Wanaume kazi tunayo, kumbe wake zetu wana nyumba ndogo huko nje ya nchi na zinawalowesha wakiwa hapa hapa TZ kuliko sisi tunavyoweza kuwalowesha!
 
tuko wengi wewe kutamani ni lazima mfano mm ni msafi kupitiliza unakuta unakutana na jitu linavaa nguo mara mbili halijui kupanga nguo unalinunulia nguo wap zivu kama kichaka loh leo nikutane na msafi mwenzangu kwa nn mate yasinitoke!?
Happymsafi ni msafi pia dear!
 
Bila shaka wewe utakuwa ni Giggy Money... kama sivyo bas ni ndugu yake wa karibu sana... cha kukushauri ni kuwa chupi ikishalowa kabadilishe uvae nyingine... pili haina haja ya kuwa na mwanamme coz ukimuona van Vicker tu unafika orgasm... How lucky you are!!
Mbona hajamtaja ni nani labda prezzooooo
 
Back
Top Bottom