Kumpenda mtu asiyekujua

Kumpenda mtu asiyekujua

Jamani mwenzenu kuna huyu kaka ni mwigizaji wa nchi za wenzetu huko naomba nisimtaje nimetokea kumpenda kiasi nikimuona tu anaigiza, picha zake chupi inakua inalowa bila kukusudia nampenda nikisikia kimempata kitu kibaya naweza nisile siku nzima namuwaza yeye tu.

Yani nimekuwa nikisali namuombea kila siku yamkute mazuri na apate mafanikio makubwa kuliko navojiombea mwenyewe. Nikiona watu wanamsema vibaya najisikia vibaya mood yangu inaharibka siku nzima. Tatizo nampenda mtu ambae hajui kama kuna mtu kama mimi naexist.

Jana nimeingia Instagram account yake nimekuta watu wanamsema vibaya usiku mzima sijalala naota maruweruwe namuwaza yeye. Sijawahi kupenda kama hivi sidhani kama itakuja kutokea katika maisha yangu kumpenda mtu kama hivi.

Sijui kimentokea nini, sikuwahi kuwa fan wa mtu fulani kiasi cha kumpenda kiasi hiki ndo mara yangu ya kwanza kuwa fan wa mtu na kumpenda. Kumuombea mazuri tu yampate kuliko navojifikiria mwenyewe. Hivi hii ni kawaida kweli au inawezekana nina ugonjwa wa saikolojia?
Am I not me? Very sory for that
 
Yaan we acha tu, uko kama mimi ninavompenda AMADOGO!!! lakini yeye walaaa!! Hana habari na wewe.
 
Do u have a crush on someone?
yes ila sio kihisia yani kiviiiile
hapana!!
nampenda melvingreig na omarion
nawapenda tu
ila sio kwamba nachukulia maanani hapana
kwasababu najua siwezi kuwapata..
kwahiyo siwa feel ile nikiwaona insta nashtuka hapana!!!!
nawaona kawaida tu ila nawapenda
 
kumbe kawaida sipo peke yangu. angalau nimefarijika
tuko wengi wewe kutamani ni lazima mfano mm ni msafi kupitiliza unakuta unakutana na jitu linavaa nguo mara mbili halijui kupanga nguo unalinunulia nguo wap zivu kama kichaka loh leo nikutane na msafi mwenzangu kwa nn mate yasinitoke!?
 
Happy msafi,am jst guesin you are lonely for so long,break the ice gal!
 
siku nyingne akitokea tu weka pause,then vua hyo chupi afu kaa pozi zuri papuch ielekeze usawa wa tv.anaweza akapagawa akatoka humo 'tiviini!'
 
Back
Top Bottom