Kumpenda mtu asiyekujua

Kumpenda mtu asiyekujua

Jamani mwenzenu kuna huyu kaka ni mwigizaji wa nchi za nje naomba nisimtaje nimetokea kumpenda kiasi nikimuona tu anaigiza, picha zake chupi inakua inalowa bila kukusudia nampenda nikisikia kimempata kitu kibaya naweza nisile siku nzima namuwaza yeye tu.

Yani nimekuwa nikisali namuombea kila siku yamkute mazuri na apate mafanikio makubwa kuliko navojiombea mwenyewe. Nikiona watu wanamsema vibaya najisikia vibaya mood yangu inaharibka siku nzima. Tatizo nampenda mtu ambae hajui kama kuna mtu kama mimi naexist.

Jana nimeingia Instagram account yake nimekuta watu wanamsema vibaya usiku mzima sijalala naota maruweruwe namuwaza yeye. Sijawahi kupenda kama hivi sidhani kama itakuja kutokea katika maisha yangu kumpenda mtu kama hivi.

Sijui kimentokea nini, sikuwahi kuwa fan wa mtu fulani kiasi cha kumpenda kiasi hiki ndo mara yangu ya kwanza kuwa fan wa mtu na kumpenda. Kumuombea mazuri tu yampate kuliko navojifikiria mwenyewe. Hivi hii ni kawaida kweli au inawezekana nina ugonjwa wa saikolojia?
Moyo wako Una kiherehere
 
duh...:-:-!:-!:-!:-! hadi chupi inaloa???hiyo kweli kali sana . ..na bahasha ako analijua hilo
?????
 
Sio Kosa lako. Jamaa anaharibu nchi, jamaa anaharibu akili za vijana, Jamaa anaharibu kweli, wanasema hashauriki, anakurupuka kama kakurupushwa!
 
Yaani kuna watu kweli mna ashki, sasa mtu humjui kweli anakulowesha!!,hii ni changamoto
 
Uko sahihi sana .endelea kumpenda mpaka milele huyo hatakuja kukuumiza hata siku moja,si wew tu ko pamojaaa
 
Uko sahihi sana .endelea kumpenda mpaka milele huyo hatakuja kukuumiza hata siku moja,si wew tu ko pamojaaa
 
Fantasy za wasichana bana..Kuna mmoja Paul walker alivyofakiri eti kakanipigia simu kunipa taarifa huku akilia..Nikaamua nimblock tu
////alifyofakiri....alivyofariki au sio mkuu
 
It is called infatuation, and I think after sometime it will fade away. Ni utoto pia hasa ukizingatia kuwa hujawahi kuwa na mahusiano serious ya muda mfano 4 to 8 years tangu ukue ama kuona ukitendwa na umpendaye. Yaani nahisi pia umekuwa unapendwa tuu, everything is fine fine na kwamba you are still in school right?! So, don't worry gal hayo ni ya kawaida especially if you really know your biology.
 
Back
Top Bottom