happymsafi
Senior Member
- Jul 4, 2016
- 100
- 84
- Thread starter
- #81
ambae nampenda amefanana na william levy ajabu simpendi levy kama huyu mwingineHuyo Dumelo ni balaa ,na wiliam levy uwiiii kuna watu wanafaidi
ambae nampenda amefanana na william levy ajabu simpendi levy kama huyu mwingineHuyo Dumelo ni balaa ,na wiliam levy uwiiii kuna watu wanafaidi
utapenda jini shauri yako bore mwezio namuona katika series, movies na interviewshappymsafi Mimi nimekupenda tuu sijakuna Wala sikujui ila dah kila ukikoment yaan ........
yeah gal...kama mimi hapa kuna username ya mdada nikiiona tu yaani ...mkonga huoooowhy do we call it a
CRUSH ?
Because that's how you feel
when they dont feel the same way in
RETURN....
mwenyewe kukujua hakujui. mie nimeplan nicomment kila post katika account yake istagram labda siku moja ataniona lolYaan we acha tu, uko kama mimi ninavompenda AMADOGO!!! lakini yeye walaaa!! Hana habari na wewe.
van vicker inaonekana wengi mnampenda humu nimemgugo kumbe mwafrika!Hili somo gumu kidogo ila mathematically
Ni hivi
(Your eyes+TV set)Van Vicker's films=Intensive Orgasm.
safi sana kila mtu ana ugonjwa wake 🙂 🙂tuko wengi wewe kutamani ni lazima mfano mm ni msafi kupitiliza unakuta unakutana na jitu linavaa nguo mara mbili halijui kupanga nguo unalinunulia nguo wap zivu kama kichaka loh leo nikutane na msafi mwenzangu kwa nn mate yasinitoke!?
khaa mpaka user nameyeah gal...kama mimi hapa kuna username ya mdada nikiiona tu yaani ...mkonga huoooo


Niunganishe naye basi we unayemjuamwenyewe kukujua hakujui. mie nimeplan nicomment kila post katika account yake istagram labda siku moja ataniona lol
huyo multiple ID ndo maana unaona hivyo wewe ona mwandiko wake tu unaeleweka kuwa ni mzoefuHmm...yaani umejiunga jana tu halafu leo unakuja na thread kama hii?
Na huo mwandiko wako huo....you sound too familiar!
Anywho...happy Monday happymsafi.....
Yule anajua kweli haya !!!happymsafi Mimi nimekupenda tuu sijakuna Wala sikujui ila dah kila ukikoment yaan ........
you guess ahaha though i'm not lonely!Happy msafi,am jst guesin you are lonely for so long,break the ice gal!
yaani huyu member sio mpya labda mamods waje kuunganisha hizi multiple ID tuone kama zari halijagundulikaHiv member hawa ni watu wale wale au ni kwel new member?
Maana mhh
simjui jina ndo nimeliona leo kwakoNiunganishe naye basi we unayemjua
Hahahàaaa! UuwiiiiVery simple mathematics, mimi nafanana na huyo muigizaji njoo nikutibu