Kumpenda mtu asiyekujua

Kumpenda mtu asiyekujua

Jamani mwenzenu kuna huyu kaka ni mwigizaji wa nchi za nje naomba nisimtaje nimetokea kumpenda kiasi nikimuona tu anaigiza, picha zake chupi inakua inalowa bila kukusudia nampenda nikisikia kimempata kitu kibaya naweza nisile siku nzima namuwaza yeye tu.

Yani nimekuwa nikisali namuombea kila siku yamkute mazuri na apate mafanikio makubwa kuliko navojiombea mwenyewe. Nikiona watu wanamsema vibaya najisikia vibaya mood yangu inaharibka siku nzima. Tatizo nampenda mtu ambae hajui kama kuna mtu kama mimi naexist.

Jana nimeingia Instagram account yake nimekuta watu wanamsema vibaya usiku mzima sijalala naota maruweruwe namuwaza yeye. Sijawahi kupenda kama hivi sidhani kama itakuja kutokea katika maisha yangu kumpenda mtu kama hivi.

Sijui kimentokea nini, sikuwahi kuwa fan wa mtu fulani kiasi cha kumpenda kiasi hiki ndo mara yangu ya kwanza kuwa fan wa mtu na kumpenda. Kumuombea mazuri tu yampate kuliko navojifikiria mwenyewe. Hivi hii ni kawaida kweli au inawezekana nina ugonjwa wa saikolojia?
 
My dear kama hilo ni tatizo tena kubwa kama hautaset mind yako kuacha kumpenda huyo mwanaume ambaye hata hajui na hujui lin atajua kama unaexist afu pia anaweza ajue lakin asichukue action yeyote utaumia na utakua mpweke maisha yako yote coz hutotaka kua na mwanaume yeoyote kila atakayekufuata utamuona takataka
Kila kitu kinaanza na mindset just change your mindset
 
Back
Top Bottom