Kumpenda mdada wa JF ni shiidah

Kumpenda mdada wa JF ni shiidah

Mavi hayachomi kama mwiba lkn ukikanyaga lazima uchechemee
 
Nimemuambia niletee picha yako leo ya sita sijamuona ,na alisema hajimudu hajiwezi kaniPM .nikamuuliza kwa lipi kubwa ,eti hata hajui imemtokea tu kunipenda ,niletee namba ya simu patupu,picha ,ila avatar yake inavutia sasa cjui ni yeye au ni mbuzhi kwenye gunia ,mnatisha ,hivi yupo bro kabahatika nao ? Au basi wapo wapo tu !😛eep:

utapata tu mtoto mzuri tu,vuta subira
 
nimekatazwa shemu. lol, mamboz niaje lakini? kwenu pazuri eeeh?

hahah!! aliyekukataza anataka uende kwake eenh

kwema kabisa shem wangu, na huku twala visivyopatikana huko mpwapwa atii...
 
hahah!! aliyekukataza anataka uende kwake eenh

kwema kabisa shem wangu, na huku twala visivyopatikana huko mpwapwa atii...

alienikataza sijui ana mpango gani zaidi ya kunibania fursa mwenzie. angalia shem wangu usiote kitambi tu eeeh.
 
alienikataza sijui ana mpango gani zaidi ya kunibania fursa mwenzie. angalia shem wangu usiote kitambi tu eeeh.

wanasema kitambi ni dalili ya kuwa na mijifweza, sasa shem langu sijui hutaki niwe na mijifweza miye...!!!
 
wanasema kitambi ni dalili ya kuwa na mijifweza, sasa shem langu sijui hutaki niwe na mijifweza miye...!!!

utahindwa kuvaa modo shemej, we karibisha tu hilo lijitambi. na performance ikishuka sist akakukimbia usije ukanililia.
 
utahindwa kuvaa modo shemej, we karibisha tu hilo lijitambi. na performance ikishuka sist akakukimbia usije ukanililia.

hahaha!!!

hapo penye pafomensi hapo ndio hatareee...hukawii kuitwa kaka n mai waifu
 
utapata tu mtoto mzuri tu,vuta subira
dizaini za mke wa Popeye au bulicheka ,sometimez ukisoma na kupitia commentz zao wanatia moyo ,unajua nimegundua na kuwagundua wanakuja hapa kwa kutaka kuolewah ,wanafanya hatari kila kona ,mimi sidhani kama nitaowa ,yaani nimeweka na ndivyo nilivyo ili nikuwowe ni lazima nionje ,si unajua uzuri wa kitu ni kukionja ,hivi wao hawaonji mchuzi ,wanipe jibu kwanini wanaonja mchuzi ? Sasa ,umeona eei !
 
Hahahaha umenifanya nicheke kwa nguvu jamani eti nikufate pm kukutongoza jina lenyewe ndio naliona leo halafu sina ukame wa kihivyo.Na kipi kinashindikana kuwa jf na wakati una mimba?

Hey ,kama jina umeliona leo bac ujue umebahatika mbona nilijiunga tena hapa 2JamesBond (007) ,inaonyesha ukame upo lakini si wa kihivyo ,sawa ,unajua mimba hiyo ni pevu sana kuwepo hapa ,huoni utakuja kuzaa ukumbini MMU ,sidhani kama utawahi kupapatuliwa kwenye kiti ,nakuonea huruma sana ,ila ndio hivyo ,huna cha mimba, sasa yanini kutudanganya ,yaani unaweka komeo kabisa ,wengine mna ubakhili uliopindukia !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom