Kumpenda mdada wa JF ni shiidah

Kumpenda mdada wa JF ni shiidah

Huyu mwiba anatudanganya jamani.By the way watu wana nyota za nyoka kukimbiwa na kila mtu so wanaona bora wajitongozeshe
Kumbeh ? basi wewe ndio unadanganya una mimbah ,mimba gani miezi nane na wiki tatu hih ! halafu upo JF saa hizi ,huna mimba wala ushuzi ,sema ulilonalo au ni wewe ulieniPM ? ila jina silo labda unatumia majina mingi ,duh !
 
Yaani nampa siku sita kama hatakuja na jibu sahihi na mimi natafuta mwengine ,kuna mmoja hapa naona kama nampenda sina uhakika ila naona moyo wangu huwa anauchukua vibaya sana tena anakwenda nao mbali !

ha ha ha aaaaaaaaaa,jaman jaman jffffffffff, humu kuna vibweka vya kila aina
 
Kumbeh ? basi wewe ndio unadanganya una mimbah ,mimba gani miezi nane na wiki tatu hih ! halafu upo JF saa hizi ,huna mimba wala ushuzi ,sema ulilonalo au ni wewe ulieniPM ? ila jina silo labda unatumia majina mingi ,duh !

Hahahaha umenifanya nicheke kwa nguvu jamani eti nikufate pm kukutongoza jina lenyewe ndio naliona leo halafu sina ukame wa kihivyo.Na kipi kinashindikana kuwa jf na wakati una mimba?
 
Kumbeh ? basi wewe ndio unadanganya una mimbah ,mimba gani miezi nane na wiki tatu hih ! halafu upo JF saa hizi ,huna mimba wala ushuzi ,sema ulilonalo au ni wewe ulieniPM ? ila jina silo labda unatumia majina mingi ,duh !

ha ha ha ha ha Mwiba leo unanichekesha sana,akisema ulete ushahidi???kwani mwenye miamba ya miez 8 hawez kupitapita hapa???
 
Last edited by a moderator:

aiseeee
 
Upoo? Ulipotea hapaa kati!

Mpe jamaa picha bana.

Hahahaaa mkuu yani nmpe picha yangu kwa lip kwamba mie ndio mbaya na stongozwii adi nkamtongoze yy lol nanyota ya dhahabu kung'ara kila kona sema jf ni fake id's with fake avatar
 
Ukute kadata kwa dume lenye avatar ya kike! Jamaa ni mgeni wa drama za MMU itakuwa.

Ndio maana mi nimedata kwako tu na hauna avatar. Sa sijui nimedatishwa na mwandiko.
 
Nimemuambia niletee picha yako leo ya sita sijamuona ,na alisema hajimudu hajiwezi kaniPM .nikamuuliza kwa lipi kubwa ,eti hata hajui imemtokea tu kunipenda ,niletee namba ya simu patupu,picha ,ila avatar yake inavutia sasa cjui ni yeye au ni mbuzhi kwenye gunia ,mnatisha ,hivi yupo bro kabahatika nao ? Au basi wapo wapo tu !😛eep:
Kumbe mnapendana humu humu dah!
 
Ukute kadata kwa dume lenye avatar ya kike! Jamaa ni mgeni wa drama za MMU itakuwa.

Ndio maana mi nimedata kwako tu na hauna avatar. Sa sijui nimedatishwa na mwandiko.

Itakua mwandiko wangu ndio umekudatishaa lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom