Kumpenda mdada wa JF ni shiidah

Kumpenda mdada wa JF ni shiidah

Mkuu Jf. ina wadada wazuri sana, mimi naweza kuthibitisha hili, Ingawa bado natafuta binti mstaarabu aliyetulia ila kiukweli wapo humu wadada wazuri sana kwa sura japo tabia ndiyo bado sijajua, na ujue kuwa tabia ya mtu ni kama saratani ya titi, huwezi kuijua labda hadi uishi naye though baadhi ya dalili unaweza kuxiona mapema.
 
Siyo kila pm lazima ujibu.
Zingine unazipotezea tu.
Binafsi za mitongozo napiga chini kimyaaa,za kutaka.kunsalimia ndo kabisaaa sijibu.
 
Wengine humu ni mashushu wanaoingia kwa gia ya "nimekupenda naomba tuwasiliane" ukiingia macho juu juu basi umeenda na maji utaokotwa mabwepande huna kucha, macho wamekopofua na umeshadedishwa. Akili mkichwa Mkuu wengine hapa wako kazini ili kuwashughulikia "wakorofi wachache" STUKA!

Nimemuambia niletee picha yako leo ya sita sijamuona ,na alisema hajimudu hajiwezi kaniPM .nikamuuliza kwa lipi kubwa ,eti hata hajui imemtokea tu kunipenda ,niletee namba ya simu patupu,picha ,ila avatar yake inavutia sasa cjui ni yeye au ni mbuzhi kwenye gunia ,mnatisha ,hivi yupo bro kabahatika nao ? Au basi wapo wapo tu !😛eep:
 
Siyo kila pm lazima ujibu.
Zingine unazipotezea tu.
Binafsi za mitongozo napiga chini kimyaaa,za kutaka.kunsalimia ndo kabisaaa sijibu.

Hahahahhahaa dah amu bana! Mambo vip mupenzi wangu jmn🌱
 
Last edited by a moderator:
After all kwani atajua kama pm imesomwa ama lah! Mi nadhani kutongozana muwe mmependa wenyewe tu wala usisingizie Jf! Watu tumebadilishana mpk namba na tunaheshmiana as sis n bros!

Wacha utoto
 
Hahahahhahaa dah amu bana! Mambo vip mupenzi wangu jmn🌱

Embu imagine id hujawahi iona hata siku moja.
Vuuuuup pm tuwasiliane,nakupenda wengine nitafute no juu.
Nitakuwa kichaa kama nitawajibu.
Mpenzi nipo sema ubusy vibaya sana
 
Last edited by a moderator:
Kwa kuonesha saini za kumzimikia mwanaume...si lazima utamke

Signs ni kupenda na sio kutongoza. Kutongoza kunahusisha majibizano ambapo yanaweza kuongoza kwenye makubaliano au hapana.
 
Signs ni kupenda na sio kutongoza. Kutongoza kunahusisha majibizano ambapo yanaweza kuongoza kwenye makubaliano au hapana.

Kupenda sio sign bali ni chanzo behind hizo signs (body language) or approach ya kuongea...

Uwasilishwaji wa lugha ya matamanio ya kimapenzi hauna lazima ya kuwasilishwa kwa mfumo sauti...

Hivyo an art of approaching (kutongoza) si lazima mtu atumie matamshi kufikisha ujumbe...

Nakushauri usome vitabu vya saikolojia ya utongozaji in relation to human behavior utaelewa ninachomaanisha...
 
Hahahaaaaa aiseee, ko ukivutiwa na people ishirini ivi wazionja zote then u choose one. Duuuuuh hatareeeee, eee mungu niepushe kwenye mnururisho wa kuonjwa!.
 
Siyo kila pm lazima ujibu.
Zingine unazipotezea tu.
Binafsi za mitongozo napiga chini kimyaaa,za kutaka.kunsalimia ndo kabisaaa sijibu.

Ndiyo maana yangu haikujibiwa pia......I was at kemondo by that time.........
 
After all kwani atajua kama pm imesomwa ama lah! Mi nadhani kutongozana muwe mmependa wenyewe tu wala usisingizie Jf! Watu tumebadilishana mpk namba na tunaheshmiana as sis n bros!

Wacha utoto

Sisters and brothers. ...negligible percentage. .......
 
Ndiyo maana yangu haikujibiwa pia......I was at kemondo by that time.........

na mie nlikuwa Serengeti Soronera by that time.
Next time na uhakikishe pm imejieleza vya kutosha.
 
Siyo kila pm lazima ujibu.
Zingine unazipotezea tu.
Binafsi za mitongozo napiga chini kimyaaa,za kutaka.kunsalimia ndo kabisaaa sijibu.

mitongozo unapiga chini....za salamu hujibu sasa zipi unazikubali?
 
Wengine humu ni mashushu wanaoingia kwa gia ya "nimekupenda naomba tuwasiliane" ukiingia macho juu juu basi umeenda na maji utaokotwa mabwepande huna kucha, macho wamekopofua na umeshadedishwa. Akili mkichwa Mkuu wengine hapa wako kazini ili kuwashughulikia "wakorofi wachache" STUKA!

Inawezekana kanishitukia mie mwenziwe ndio kaingia mitini ,halafu sie mashushu tumechoka ile mbaya na jinsi tunavyoichukia hii kazi ndio maana kuna mivujo kibao ,tunajaribu kila njia kuwaweka utupu.

Ila kuna mdada huyu hana cha ushushu wala nini,ila namuona ana haya na aibu sana ,ila ndio hivyo bahati inamuangukia mwengine sie wengine tunatoa macho tu ,hata ukipm hujibiwi na ukijibiwa utajuta kubeep ,bora nikae kimya ,nasubiri wajigonge !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom